ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
Mwaka jana muziki wa singeli muziki ulioibuka kutoka uswahilini na kutapakaa nchi nzima ghafla na kutishia mustakhabari wa muziki wa bongo fleva hasa hip hop sasa umefikia mwisho
Kama aina ya muziki mwingine uliowahi kukiki hapa nchini kama mchiriku, mduara nk na kusepa pia singeli kwa sasa inapitia hatua za mwisho kufuata nyayo za muziki wa sebene na nyinginezo kufa na kuiacha bongo fleva kama ilivyokutwa!
Wanakuja na kupotea
Wito wangu kwa Wanaojiita mabaharia, vijana na wasanii waliokua wanategemea muziki huu kupitisha siku sasa watafute namna nyingine ya kufanya!
Kwa sasa hamna jipya katika singeli, air time yenu imeisha!
Kama vipesa mlivyovipata hamjawekeza hii imekula kweni nyie akina man fongo et al.
Soon mtarudi kupiga magoma yenu huku uswahilini na kwenye vigodoro kama tulivyokuwa tumewazoea