Charity Run / Mbio za Hisani

earl

Senior Member
Aug 30, 2012
138
181
Habari za asubuhi wana JF,

Poleni na shughuli za ujenzi wa Taifa. Kama maada inavyojieleza hapo juu, ninaomba mwongozo kwa yeyote anayefahamu mamlaka ambazo inabidi kuzitembelea ili kupata vibali vya kuandaa mbio za hisani. Mimi nafahamu kwamba sehemu moja wapo ya kupata kibali ni polisi, naomba kujuzwa mamlaka nyingine.

Asanteni.
 
Hapo polisi pia wanaweza wakakupa maelekezo wapi uende..yaan unaweza kuulizia vibali vingine vinatokea wapi
I
 
Back
Top Bottom