Fabian the Jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 756
- 743
Wadau nimeusikiliza leo kwa mara ya kwanza huu wimbo wa huyu jamaa, Ki ukweli ni booonge la wimbo na Jamaa atapata show nyingi sana kwa huu wimbo ila sielewi maudhui yae hasa ni nini.
Inasemekana ni kweli jamaa anamuimbia ndugu yetu Nape?
Inasemekana ni kweli jamaa anamuimbia ndugu yetu Nape?