Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hii channel ni nzuri sana ila shida ni moja hawaandikiki jina la muziki wala alieimba. Wakati wimbo unachezwa
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna series inaitwa RINGER, ni kali kupita maelezo, ina story nzuri sana. Itafute ndugu
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Wakuu salaam! Mie si mdau wa vilevi wala wadada, ila ulevi wangu ni movies hasa za actions. Nimeangalia nyingi kdg Iris (I&II), 2 weeks (haikunivutia) Hawaii, Jumong, the land of wind, Nikita...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
kuna wale wapenzi sana wa kuangalia TV SERIES za kizungu na Asia. Basi wala usiwaze sana utapataje hizo series. kwangu zinapatikana za kila aina ni suala la wewe tu kusema kuwa unahitaji SERIES...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
mambo vipi wa 254...kuna huu wimbo wa bahati aliomshirikisha rayvanny,nmeusikiza ila kusema ukweli bahati amechemsha.amepeleka aibu bongo ata heri angebaki tu uku Nairobi nngemvumilia.rayvanny...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Bahatikenya na rayvany toka wasafi labelled wamefanya yao kwa ngoma hii ya nikumbushe. Kuipata na kuisikiliza nenda na upakue katika website ya wasafi uone mautundu ya rayvany. #Karibuni...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Anaeweza kuweka audio hapa anisaidie(kama anao),me nimeshindwa.... Amepita mule mule kune "muziki"... sijui ni kauvujisha au vipi,mana sijaona ka ameutoa officially....meaning hajapost chochote...
8 Reactions
97 Replies
23K Views
Wakuu Kuna bonge la version la huu wimbo wa Muogo wa Jang'ombe ulioimbwa na marehemu, nguli na mkongwe wa muziki huu wa mahadhi ya pwani Bikidude badae ukaimbwa na wengine kutia ndani LadyJaydee...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu, uzi huu ni maalumu kwa wapenzi wa Mr bean. Tafadhali share nasi video uliyoipenda ya Bean.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Baada ya kutoa single ya lover boy, msanii mahiri kabisa barnaba boy ameachia hit single nyingne inayokwenda kwa jina la "lonely" Wataalamu wa mambo wanadai kwamba hii ni dedication kwa mzazi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Last time we made love-Tanya Blount Dru-Stay with me Get Out-Changing Faces Promise (Rmx)- Jagged Edge
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Pata kutizama video ya Muimbaji wa Nyimbo za Injili Rehema Lupilya. Ni wimbo wenye mahadhi ya Raggae, Ulishika namba moja February 2017 Usisahau ku subscribe youtube Instagram: @rehema_lupilya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu mkongoman Thelathini na Tatu anasauti yenye mvuto, sio zile zakujikamua. Sikiliza hii dk 4:26 'Maumivu'
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Wakuu ninatafta mdau mwenye namba ya studio ya mzik nzuri iliyopo mjini dodoma aniwekee namba hapa nataka kurekodi wimbo ila ni mgen maeneo haya ya dodoma plz sihitaj matus kama haujui uscoment
0 Reactions
8 Replies
5K Views
BREAKING STORY: Koffi Olomide 'asadikika' kufariki dunia!... | TODAYS NEWS
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Kijana anaetafuta ugali kwa jina la S kide amedondosha ngoma kali inayokwenda kwa jina la Hamo rapa na humo ndani amefanya 'matusi' sana juu ya msanii anaekuja kwa kasi, Harmorapa. Baadhi ya...
5 Reactions
30 Replies
16K Views
NGADA! Frank alimkazia macho kaka ake, na kuvimbisha uso wake, na kukaza sauti, na kumwambia tena na tena. “usim ‘shoot’, achana nae” “Aroni, achana nae ushampiga, kaumia, achana nae...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wanajamvii. Kabla ya yote napenda niwasifie hawa vijana wetu kwa kufanya kazi nzuri.nadhan wameweza kuitumia sanaa vizuri.wametupa changamoto za kuufikirisha ubongo wetu vizuri. Sio kama...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom