kamanda mbigi
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 1,241
- 1,547
Akiongea na waandishi wa habari mwenyekiti wa maandalizi ya team ya serengeti boys kasema wimbo utakao tumiwa kutoa hamasa kwa timu ya serengeti boys umeimbwa na wasanii kadhaa wakiwamo diamond platnums na ali kiba ambao ni mabalozi pia.
Sasa wale mliokua mnataka mkali nani utafuteni wimbo huo mumsikie mmanyema alivyotia vionjo.
Source: sports extra ya clouds fm
Sasa wale mliokua mnataka mkali nani utafuteni wimbo huo mumsikie mmanyema alivyotia vionjo.
Source: sports extra ya clouds fm