wadau mimi ni mpenzi wa series hizi za wakorea... ingawa sijafuatilia nyingi sana lakini nimejifunza kitu..
1. steringi anaweza kuumizwa sana na ni wepesi sana kutoka damu lakini ndani ya muda...
Ni ktk kipindi cha FNL cha tar 17/03/2017..
Kifupi Kiba amekataa kujibu maswali aliyoulizwa na Sam...
Mwisho wamekatiana simu..
muziki wa Bongo una safari kubwa Sana kufika kilele
Ni hivi katika pitapita zangu nikamkuta ndugu yetu wa kutuinspire kupambana bwana fursa mtu mzima Harmorapa katupia dubwasha moja youtube la ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Shilingi...
Wadau Clouds Tv kwa sasa inapatikana online, unaweka kuitazama kupitia hii link CLOUDS TV on USTREAM: .
Kwa wale ambao wako nje ya Dar hii inaweza ikawafaa zaidi.
wadau karibuni katika uzi wangu huu,
mimi ni mtunzi wa simulizi ninayemiliki blogi ya nasmgambo.blogspot. com
nawakaribisheni katika uzi huu kupata uhondo wa mastori yangu.
ambayo huwa...
Tupia mashairi yako binafsi uliotunga mwenyewe, yakiwa na vina vyenye kuleta maana tuonyeshane mauwezo mimi naanza hivii....
Kazana kula kitabu
Kwani ndio mwisho wa tabu
Unayokila sababu...
jamani kwakweli ne-yo hatakuja kusahaurika kwenye gemu ya mziki,,, nakumbuka wimbo wake miss independent,,ulivyo mpa tuzo. pia yule dada alieshoot nae alinogesha sana video yake,,,,vipi wewe wimbo...
Karibu wana forum humu ndani nitakuwa nawapostia simulizi yangu iitwayo Fahari,
Simulizi inayomuhusu kijana Leo, anayeonekana kuwa mwenye akili sana na mzee tajiri aitwaye Habib Nasri, tena mzee...
RIWAYA: HOFU
MTUNZI: George Iron Mosenya
SIMU: 0655 727325
MWAKA WA KUANDIKWA: 2013
"Tunayaweza yote ambayo akili zetu zinafikiri,
lakini kamwe hatutaweza kuyatekeleza vyema
kwa kuziamini akili...
Kuna movie inaendelea je kwa mtazamo wako starring atakufa au atawateketeza wapinzani wake, ni movie gani unakumbuka starring alikufa na starring mwenyewe alikuwa na bwembwe kibao kurusha ngumi...
Nasikiaaa utaaaaaamu rahaaa the people station
Haya ndio mambo Maraia wa brand kubwa tunataka kuyanyakwise pisee mndanise
Ule uleeee kata kiuno kata kata... mweeeeeeh..!
Ukichora sifuri...
Nimekumbuka baada ya kusiliza nyimbo mbili alizoimbaga zamani kidogo
..Kuna wimbo aliimba unaitwa ..Ndio Mzee..
Na ule sio mzee...nimezikumbuka sana naomba wadau msikilize hizo nyimbo ..nataka...
kwa hali ya kawaida kuna nyimbo ambazo zitakufanya ukumbuke tukio fulani, mpenzi wako au pengine hata sherehe mbalimbali.
wale wapenzi wa nyimbo za rnb pamoja na loves songs tujikumbushe kwa...
Hii ngoma ukweli kwa upande wng nimeielewa sana kweli jay mo ni level zingne.......ambaye hajaipata anakosa flava sana ya good music kutoka kwa huyu bongo flava legend
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.