Wimbo wa Salamu nimpe nani

Wimbo wa Salamu nimpe nani

tena wakuu huo wimbo ulikuwa unapigwa sana na radio tanzania kabla ya kipindi cha salam kuanza
 
naupenda sana huo wimbo, unanikumbusha mbali sana
salam nimpe nani
mpenzi salama eeeh
naomba zikufikiee popote ulipo mama..。
 
nimekuwa mpenzi wa nyimbo za zamani, lakini napozipiga watu huchukia, eti oohk, kwani wee! Mzee, hakika ni nyimbo zenye ujumbe na huburudisha, R.I.P Mbaraka Mushehe sijui kama atatokea mwimbaji kama wewe.
 
Asante sana kwa muanzisha huu uzi. Huu wimbo nimeusaka sana.
Live long JF..
 
Back
Top Bottom