Dorobucci

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
5,528
6,085
nigerian wanatuacha mbali sana
 

Attachments

  • Dorobucci - Mavins [OFFICIAL VIDEO].mp4
    6.7 MB · Views: 18
nigerian wanatuacha mbali sana
Elezea kidogo Mkuu.

Wanatuacha mbali sana na nini?

Ungesema kwanza video ni ya nani, inahusu nini, nani kai-shoot, imefanyika wapi imetoka lini, na mengineyo. Kisha, utoe ufafanuzi sasa kuwa kwa nini wanatuacha mbali.
 
Elezea kidogo Mkuu.

Wanatuacha mbali sana na nini?

Ungesema kwanza video ni ya nani, inahusu nini, nani kai-shoot, imefanyika wapi imetoka lini, na mengineyo. Kisha, utoe ufafanuzi sasa kuwa kwa nini wanatuacha mbali.
ki music,huo ni wimbo pakua usikilize ndo utajibu vizuri
 
Wimbo una muda mrefu sasa huu! Vip mkuu ndo umeusikia leo nin? Ila ni wimbo fulani mkali hivi
najua mkuu but nimeuchukua tu kama sample kw kuwa kuna producer mkubwa Afrika,Don Jazz na huyo dem Tiwa savage
 
Mkuu hv ndo tuseme upo mbali na mjini?
au smartphone yako inakusaidiaje hadi vitu vizuri kama hivi huvipati on time?
Nahisi ww ni mmoja wa wale waliofungiwa visimbusi kwa kosa la kutokulipia,
 
Back
Top Bottom