Wakuu salaam!
Mie si mdau wa vilevi wala wadada, ila ulevi wangu ni movies hasa za actions. Nimeangalia nyingi kdg Iris (I&II), 2 weeks (haikunivutia) Hawaii, Jumong, the land of wind, Nikita...
kuna wale wapenzi sana wa kuangalia TV SERIES za kizungu na Asia. Basi wala usiwaze sana utapataje hizo series. kwangu zinapatikana za kila aina ni suala la wewe tu kusema kuwa unahitaji SERIES...
mambo vipi wa 254...kuna huu wimbo wa bahati aliomshirikisha rayvanny,nmeusikiza ila kusema ukweli bahati amechemsha.amepeleka aibu bongo ata heri angebaki tu uku Nairobi nngemvumilia.rayvanny...
Bahatikenya na rayvany toka wasafi labelled wamefanya yao kwa ngoma hii ya nikumbushe.
Kuipata na kuisikiliza nenda na upakue katika website ya wasafi uone mautundu ya rayvany.
#Karibuni...
Wakuu Kuna bonge la version la huu wimbo wa Muogo wa Jang'ombe ulioimbwa na marehemu, nguli na mkongwe wa muziki huu wa mahadhi ya pwani Bikidude badae ukaimbwa na wengine kutia ndani LadyJaydee...
Baada ya kutoa single ya lover boy, msanii mahiri kabisa barnaba boy ameachia hit single nyingne inayokwenda kwa jina la "lonely"
Wataalamu wa mambo wanadai kwamba hii ni dedication kwa mzazi...
Pata kutizama video ya Muimbaji wa Nyimbo za Injili Rehema Lupilya. Ni wimbo wenye mahadhi ya Raggae, Ulishika namba moja February 2017
Usisahau ku subscribe youtube
Instagram: @rehema_lupilya...
Wakuu ninatafta mdau mwenye namba ya studio ya mzik nzuri iliyopo mjini dodoma aniwekee namba hapa nataka kurekodi wimbo ila ni mgen maeneo haya ya dodoma plz sihitaj matus kama haujui uscoment
Kijana anaetafuta ugali kwa jina la S kide amedondosha ngoma kali inayokwenda kwa jina la Hamo rapa na humo ndani amefanya 'matusi' sana juu ya msanii anaekuja kwa kasi, Harmorapa.
Baadhi ya...
NGADA!
Frank alimkazia macho kaka ake, na kuvimbisha uso wake, na kukaza sauti, na kumwambia tena na tena.
“usim ‘shoot’, achana nae”
“Aroni, achana nae ushampiga, kaumia, achana nae...
Habari wanajamvii.
Kabla ya yote napenda niwasifie hawa vijana wetu kwa kufanya kazi nzuri.nadhan wameweza kuitumia sanaa vizuri.wametupa changamoto za kuufikirisha ubongo wetu vizuri.
Sio kama...