Kwa wale wapenzi wa SERIES na MOVIES hapa ndo Studio kubwa kabisa Nchini

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
2,178
2,000
kuna wale wapenzi sana wa kuangalia TV SERIES za kizungu na Asia. Basi wala usiwaze sana utapataje hizo series. kwangu zinapatikana za kila aina ni suala la wewe tu kusema kuwa unahitaji SERIES gani ili upatiwe. Nina STORAGE YA TV SERIES nyingi nzuri ambazo ni classic lakini pia kwa ile ambayo sitakuwa nayo naweza kudownload kwa ajili yako kwa bei ndogo tu ya ths 3000 kwa SERIES yenye GB 3.5 mpaka 4.5 na tsh 4000 kwa series ya kuanzia GB 5 na mpaka 6.5. hata hivyo ninatoa punguzo na pia unaweza kunambia nikutafutie SERIES gani.

kumbuka hapa ninaongelea TV SERIES ZENYE KIWANGO CHA JUU cha ubora. HIGH QUALITY na si kama wanazouza mtaani 2000 . hapa unapata video nzuri kabisa pamoja na subititle ukipenda kwa kuangalizia kwenye ipad,tablet,simu,video n.k unaweza kuwekewaa kwenye flash au external hard disk au kwenye DVD. pia kama ukija na EXTERNAL HARD DISK ntakuwekea SERIES (seasons 5) utakazochagua kwa tsh 8,000. karibu sana kwa mawasiliano zaidi ni PM tafadhari.

MAWASILIANO TUMA MSG KWENDA NUMBER 0686299899
 
NGUVUMOJA

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,350
1,195
Angalia wasije wale jamaa wanaovunja zile cd zinaitwaga "fake" wanabeba mpaka comp.

Hahaha ni msemo tu!
 
Denjo

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
334
225
kuna wale wapenzi sana wa kuangalia TV SERIES za kizungu na Asia. Basi wala usiwaze sana utapataje hizo series. kwangu zinapatikana za kila aina ni suala la wewe tu kusema kuwa unahitaji SERIES gani ili upatiwe. Nina STORAGE YA TV SERIES nyingi nzuri ambazo ni classic lakini pia kwa ile ambayo sitakuwa nayo naweza kudownload kwa ajili yako kwa bei ndogo tu ya ths 3000 kwa SERIES yenye GB 3.5 mpaka 4.5 na tsh 4000 kwa series ya kuanzia GB 5 na mpaka 6.5. hata hivyo ninatoa punguzo na pia unaweza kunambia nikutafutie SERIES gani.

kumbuka hapa ninaongelea TV SERIES ZENYE KIWANGO CHA JUU cha ubora. HIGH QUALITY na si kama wanazouza mtaani 2000 . hapa unapata video nzuri kabisa pamoja na subititle ukipenda kwa kuangalizia kwenye ipad,tablet,simu,video n.k unaweza kuwekewaa kwenye flash au external hard disk au kwenye DVD. pia kama ukija na EXTERNAL HARD DISK ntakuwekea SERIES (seasons 5) utakazochagua kwa tsh 8,000. karibu sana kwa mawasiliano zaidi ni PM tafadhari.
Mambo fanya kama unashate na sisi website kwa ajiri ya ku download movies
 
Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
2,178
2,000
madame ukiitka scandal ni suala la kunambia tu ili nami nikudownloadie uipate seasons zote kwa kila seasons mi ntakufanyia 3000 maana nasi si unajua tunanunua bundle na kuna suala la umeme na muda hapo angalau tu kurudisha bundle.unazipata zikiwa na high quality na ukitaka english sub pia unapata bure.
 
saly91

Member
Sep 15, 2013
86
125
kuna wale wapenzi sana wa kuangalia TV SERIES za kizungu na Asia. Basi wala usiwaze sana utapataje hizo series. kwangu zinapatikana za kila aina ni suala la wewe tu kusema kuwa unahitaji SERIES gani ili upatiwe. Nina STORAGE YA TV SERIES nyingi nzuri ambazo ni classic lakini pia kwa ile ambayo sitakuwa nayo naweza kudownload kwa ajili yako kwa bei ndogo tu ya ths 3000 kwa SERIES yenye GB 3.5 mpaka 4.5 na tsh 4000 kwa series ya kuanzia GB 5 na mpaka 6.5. hata hivyo ninatoa punguzo na pia unaweza kunambia nikutafutie SERIES gani.

kumbuka hapa ninaongelea TV SERIES ZENYE KIWANGO CHA JUU cha ubora. HIGH QUALITY na si kama wanazouza mtaani 2000 . hapa unapata video nzuri kabisa pamoja na subititle ukipenda kwa kuangalizia kwenye ipad,tablet,simu,video n.k unaweza kuwekewaa kwenye flash au external hard disk au kwenye DVD. pia kama ukija na EXTERNAL HARD DISK ntakuwekea SERIES (seasons 5) utakazochagua kwa tsh 8,000. karibu sana kwa mawasiliano zaidi ni PM tafadhari.
Oyoo.mie nahitaji scandal season 4 na 5 na single ladies 4 na 5.napataje?
 
ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
4,759
2,000
Mkuu unazo DEVIOUS MAIDS season 3 na SHAMELESS season 4 na 5 ? Kama zipo naomba tuwasiliane tafadhali
 
Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
2,178
2,000
ITEGAMATWI devious maids naweza kukudownlodia hiyo season 3 na shameless season 4 and five kwa tsh 12,000. nakuwekea na english sub kama unahitaj na high quality cha kufanya unatuma advance 6,000.then unanipa only 14 hours unanambia nikuletee wapi unaweza kuja na EXTERNAL HD au FLASH. au ukaja na DVD nkakuwekea humo.
 
Riwa

JF-Expert Member
Oct 11, 2007
2,599
2,000
kuna wale wapenzi sana wa kuangalia TV SERIES za kizungu na Asia. Basi wala usiwaze sana utapataje hizo series. kwangu zinapatikana za kila aina ni suala la wewe tu kusema kuwa unahitaji SERIES gani ili upatiwe. Nina STORAGE YA TV SERIES nyingi nzuri ambazo ni classic lakini pia kwa ile ambayo sitakuwa nayo naweza kudownload kwa ajili yako kwa bei ndogo tu ya ths 3000 kwa SERIES yenye GB 3.5 mpaka 4.5 na tsh 4000 kwa series ya kuanzia GB 5 na mpaka 6.5. hata hivyo ninatoa punguzo na pia unaweza kunambia nikutafutie SERIES gani.

kumbuka hapa ninaongelea TV SERIES ZENYE KIWANGO CHA JUU cha ubora. HIGH QUALITY na si kama wanazouza mtaani 2000 . hapa unapata video nzuri kabisa pamoja na subititle ukipenda kwa kuangalizia kwenye ipad,tablet,simu,video n.k unaweza kuwekewaa kwenye flash au external hard disk au kwenye DVD. pia kama ukija na EXTERNAL HARD DISK ntakuwekea SERIES (seasons 5) utakazochagua kwa tsh 8,000. karibu sana kwa mawasiliano zaidi ni PM tafadhari.
Nahitaji Vampire Diaries Series 4, 5 and 6. Ntazipataje?
 
Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
2,178
2,000
Haraka haraka kuna Series Hizi. BAND OF BROTHERS,COPPER,CULT,DEADWOOD,HOUSE OF CARDS,DEATH COMES TO PEMBERLEY,HOMELAND SEASON 4,MEDIC SEASON 1,PARADE'S END,PENNY DREADFUL.THE AMERICANS,TURN,BLACKSAILS,CROSSBONES,HATFIELDS AND MCCOYS,REIGN,THE BORGIAS,THE WHITE QUEEN,THE TUDORS SEASON4,VIKINGS,666 PARK AVENUE,ANCIENT ROME,TURN,NAPOLEON,THE MUSKETEERS,DOWNTOWN....
kinyume na hapo unanambie unataka SERIES FLAN UNANAMBIA NA SEASON THEN NAKUTAFUTIA kama ni moja tu unanipa 3 hours nakumalizia Ikiwa na QUALITY NZURI sana. la msingi kama unataka nikudownlodie inabidi utoe advance maana nmeshakutana na jamaa wawili ambao hawakuwa waaminifu mmoja akanambia ameahirisha na mwingine akawa hapatikani kwa simu. nami natumia bundle ktk kudownload.
 
Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
37,278
2,000
Je nikihitaji hizi naweza zipata?
Homeland season 1-3
Beauty and the Beast 1-2
?
 
Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
2,178
2,000
Riwa ukinipa 24 hours nakupatia hizo series unanambia tu nikuletee wapi( angalau iwe center flan eg, ubungo,buguruni,mwenge. then nakuletea. la msingi unatuma advance nusu ya gharama yake. so wala hazina shida . tuwasiliane kwa number hii 0686299899.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom