Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,933
Anaeweza kuweka audio hapa anisaidie(kama anao),me nimeshindwa....
Amepita mule mule kune "muziki"...
sijui ni kauvujisha au vipi,mana sijaona ka ameutoa officially....meaning hajapost chochote kuhusu huo wimbo...
ila kiitikio chake ni kama wimbo flani hivi wa zamani "ooh mwanamama oooh"....
Binafsi nimeupenda...