Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,804
Wakuu salaam!
Mie si mdau wa vilevi wala wadada, ila ulevi wangu ni movies hasa za actions. Nimeangalia nyingi kdg Iris (I&II), 2 weeks (haikunivutia) Hawaii, Jumong, the land of wind, Nikita, falling Sky (sikuipenda), strike back. Sasa naangalia 24 hrs ila nimenunua season 7 mara 3 nakuta ina episode 1 tu (msaada hapa).
Sasa naomba kwa wadau wenzangu nitafute series gani kali ya kijasusi hasa yenye teknolojia za kijeshi? Tofauti na hizi za kwetu za kikaliakoo na mitaani nizipate wapi?
Wasalaam!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums