Hit song from Barnaba boy "lonely"

Hit song from Barnaba boy "lonely"

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,673
Reaction score
6,752
Baada ya kutoa single ya lover boy, msanii mahiri kabisa barnaba boy ameachia hit single nyingne inayokwenda kwa jina la "lonely"

Wataalamu wa mambo wanadai kwamba hii ni dedication kwa mzazi mwenzie "Mama Stivie" ambaye inasemekana wawili hawa hawaishi pamoja kwa sasa
 
Barnaba anajua kuimba
kiukweli huyu ni msanii kwelikweli
hana Kick
Na hawaangushi wasanii wenzie pale anapo shirikishwa
Pongezi kwako ndugu
 
Hehe, wataalamu wa mambo hao ni wataalamu wa nini mkuu?
mwanzo barnaba alikanusha vikali sana kwamba hana tofauti na mzazi mwenzie

Ila sasa iko wazi wadau wameng'amua baada ya wimbo wake huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom