Dah safi kwa wazee wa rnb, nakumbuka enzi hizi ngoma zenu zinatamba sisi wazee wa mayenu kipindi hicho tulikuwa na akina lucien bokilo, ghatho na jean balon wakitamba.
Dah safi sana mdau pia kuna Pini kama I never find Someone Like You ya Keith Martin, Vijana wa Shai na vitu kama Comforter and come with Me, Jodeci na Forever My Lady, yaani ni muziki mtamu sana what a memories
Yaani naona humu zinakuja ngoma zile ambazo ni my taste from those days' classics. Nakumbuka nikiwa Mbalizi High School nishawahi kupata warembo kadha kwa kugonga ngoma kama vile Same O'l G ya Ginuwine kutoka album ya 100% then ngoma kama vile Never let you Go ya Lumidee nikiwa form five... ngoja nitulie nije nipange my all time favourite play list from late 80s to mid 2000s
Huo wimbo wa Tanya, nakumbuka miaka ya 2002 na kuendelea ulikua unapigwa radio one usiku, ila mtangazaji alikua hautaji jina lake. Kwa hiyo tangu hiyo 2002 sikuwah kuujua jina lake mpaka 2011 inglish yangu iliponyooka kidogo na kuutafuta kwenye internet
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.