Mvumbo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 3,485
- 12,107
Kijana anaetafuta ugali kwa jina la S kide amedondosha ngoma kali inayokwenda kwa jina la Hamo rapa na humo ndani amefanya 'matusi' sana juu ya msanii anaekuja kwa kasi, Harmorapa.
Baadhi ya mistari ya wimbo huo inasema jamaa hafanani na Harmonize bali pacha wake ni Young killer, na pia kijana hajui mziki bali ni kituko.
Pia katika wimbo S kide anashangaa kwa nini yeye haitwi WCB na kaka yake wakati ana kipaji kikubwa.
Tujikumbushe; S kide alishawahi kutoa wimbo wa Kumsema vibaya Diamond, ameshawahi kutoa wimbo wa kumsema 20%, alishawi pia kupigwa na Ney wa mitego baada ya kuachia songi lililomlenga star huyo lililokwenda kwa jina la Dada Neema.
Nb: nimeshindwa kuuweka wimbo huu wa S kide unaoitwa Hamorapa, atakaeweza anisaidie umeenea blog zote za muziki nchini.