Pata kutizama video ya Muimbaji wa Nyimbo za Injili Rehema Lupilya. Ni wimbo wenye mahadhi ya Raggae, Ulishika namba moja February 2017
Usisahau ku subscribe youtube
Instagram: @rehema_lupilya
Facebook: RehemaLupilya
Karibuni tumsifu Mungu.
Muwe na siku njema