Tuijadili nyimbo ya weusi madaraka ya kulevya

Aventus

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
2,011
2,165
Habari wanajamvii.
Kabla ya yote napenda niwasifie hawa vijana wetu kwa kufanya kazi nzuri.nadhan wameweza kuitumia sanaa vizuri.wametupa changamoto za kuufikirisha ubongo wetu vizuri.

Sio kama yule mpumbaf ambaye hajui kutumia sanaa ya mzik anaropokaropoka na kujitia hatiani

Naambatanisha mistar michache ya niki wa pili na baadae joh makin akifatiwa na gnako

"Madaraka ya kulevya,nayumba napoteza,
mjini nimedondoka kama chopa,
zee la makopa,
zee la kulia,zangu ni kung'arisha moka,
napendaga ma light camera,action,
napendaga ma light nyomi antenion,
nyumbani situlii na mamii,
napendaga makiki kama msanii,
nanii tukipiga picha nipost"

Sijui wewe umeelewa nini?
G nako anasema wanamzungumzia msichana..

Kwa upande wangu naona anamzungumzia bwana yule wa dar es salaam.

Nawasilisha...

Nashindwa kuweka audio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom