New collable from bahatikenya ft rayvanywasafi-nikumbushe.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
Bahatikenya na rayvany toka wasafi labelled wamefanya yao kwa ngoma hii ya nikumbushe.
de42fa92bbb9122e01ea46c72ccf5377.jpg

Kuipata na kuisikiliza nenda na upakue katika website ya wasafi uone mautundu ya rayvany.
c68a3c385177fcc5899a01329c13dda5.jpg

[HASHTAG]#Karibuni[/HASHTAG] Ulimwengu wa burudani.
Mambo mazuri yaja toka kwa wasafi soon!!
 
Wameshatoa na video teari

Kawimbo katamu sana haka aisee, Rayvany hivi ndo vitu tunataka sio kama yale makelele ya kijuso.

Leizer huwa simkubali lakini hapa nampa big up.
 
Wameshatoa na video teari

Kawimbo katamu sana haka aisee, Rayvany hivi ndo vitu tunataka sio kama yale makelele ya kijuso.

Leizer huwa simkubali lakini hapa nampa big up.

Yap dogo kafanya vizuri, ana sema kwenye maisha ya Music ukiwa na upendo utaishi, team hazijengi urafiki tusije uana kwa kugombania viti,Eti nimsahau Mama kisa nime kiki ,maneno ya busara sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom