saadeque
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 2,169
- 1,356
mambo vipi wa 254...kuna huu wimbo wa bahati aliomshirikisha rayvanny,nmeusikiza ila kusema ukweli bahati amechemsha.amepeleka aibu bongo ata heri angebaki tu uku Nairobi nngemvumilia.rayvanny amemfunika mbaya yani ata kiziwi atajua mziki uku Kenya umetukataa kimpango..ila sijui kwa nni wasafi waliamua kumpatia hii nafasi ya collabo.bahati bado sana...maoni yangu haya.utafuteni muusikilize,unajiita sijui unikumbushe