Kwa mnaopenda series za mapenzi na ki-intelligencia

Kwa mnaopenda series za mapenzi na ki-intelligencia

gbrother

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
408
Reaction score
51
Kuna series inaitwa RINGER, ni kali kupita maelezo, ina story nzuri sana.
Itafute ndugu
 
ujinga na upuuzi tu, mnakosa thread za kupost, rubish, shame upon!!!!!!!
 
ujinga na upuuzi tu, mnakosa thread za kupost, rubish, shame upon!!!!!!!

we ni kitolea nya nini? co fb hapa kwenye -----,
stress zako ziishie uko uko kwa mama muuza co hapa
 
Mkuu samahani sana umekosea jukwaa.
Usituchafulie hewa.Ondoka kimya kimya utuachie starehe zetu

mwana kuna wa2 wanataka 2pigwe ban tu, ashukuru sana hili ni jukwaa la wastaharabu, ingekuwa jukwaa la wakubwa ambacho ningemfanya angeomba kwa invisible amtoe umu ndani,
ngoja ni2lize munkari tu
 
Back
Top Bottom