mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,475
.
Fananiiii, fanani wa uwakika kwenye fun anawajibika..
Ngoma kali sana hiyo mkuu.
Mchizi yuko poa kabisaa wa afya tele!Hivi Fanani bado yuko hai? Mara ya mwisho nilimuona mwaka 2005 na alikuwa anatinga sasa hii leo baada ya miaka 12 sijui yukoje!
Mchizi yuko poa kabisaa wa afya tele!
Yeah ni mtu poa sana..wiki iliyopita nimekutana nae kwenye basi la mwendo kasi anaelekea Kimara...mchizi yuko poa kabisaa na amegain sana mwili sema usela ndio kama kawaida haufutiki!Afadhari, maana miaka hiyo alikuwa anakuja maskani Samora Avenue tulikuwa tunamuonea huruma. Fanani ukikaa nae na kumfahamu personally ni mtu poa sana, sema ngada inabadilisha maisha sana.