Tetesi: Eti Koffi Olomide amefariki.

Kumbe wewe nawe in mpumbavu?,mi sijawa wa kwanza kufaham nmefahamishwa na vyanzo vingine. Uachage ujinga
Povu La Nini Ndugu? Nauliza Yaani Mtu Mkubwa kama Koffi afariki wewe ndio uwe wa kwanza Kujua? Yaani Hata ITV wazee wa Breaking News hawajapata, News Room yao wapo 24 Hrs wanaangalia channels za Duniani Kote.
 
Nmekuambia wewe ni mjinga
 
Nmekuambia wewe ni mjinga
Kati yangu na wewe nani MJINGA? Umepewa taarifa bila hata kutafakari au kuangalia kwenye source za uhakika unakurukupa na kuja kujaza server za JF,Acha UBASHITE wewe KILAZA wa KOROMIJE.....HIZO HOAX Zipo Tangia January umekuja kuleta LEO,SIKU YENU YA WAJINGA ILIISHA JANA SAA NNE ELEWA WEWE MBWIGA WA MBWIGUKE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom