Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Aiseee ndo nipo naichek hii movie hapa...... Yan ni tatizo!!!!!!!!!Nimeshika remote,basi hapa home wanatamani wanipige.maana kila muda nurudisha nyuma kuangalia tena balaa analofanya!!!!! Ndo...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Tembelea YouTube channel yetu kwaajili ya mafunzo ya Color correction na Color grading kwa kiswahili na kwa njia rahisi kabisa Fungua App ya YouTube. Search Creator pro5
0 Reactions
1 Replies
865 Views
Hello guys hivi karibuni nitaanza kutoa masomo yahusuyo color correction n color grading kwa watu wanao jihusisha na mambo ya video production n graphics design
1 Reactions
5 Replies
856 Views
kuna wimbo unaitwa kitu na box wa abdul misaambano na ule wa issa matona anaimba nilidhani mimi chanda na wewe pete yangu... Naombeni mnisaidie tafadhali manake nimezitafuta muda mrefu sijazipata
0 Reactions
12 Replies
13K Views
Na kuna ile ya Nikki mbishi na mkristo inakuja kuja kuikaribia hii ya KINGZILA..ZILA ZILA ni balaa
1 Reactions
14 Replies
11K Views
Wadau mwenye huu wimbo anisaidie, nimeutafuta mtandaoni bila mafanikio!! Natanguliza shukrani!!
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Wakuu kwa mimi hawa ndio wabaya wa chorus bongo kuanzia wa kwanza mpaka wa 5 1. Sir Nature - msitu wa vina 2. Belle 9 3. Chege Chigunda 4. TID 5. Q Chilla/ Q Chief
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Nakumbuka nilikuwa chuo nasoma sikukaa mabibo hostel nilipanga room mtaani, siku moja jumapili a msichana toka mzumbe university alikuja home kipindi hicho alikuwa mpenzi wangu. Akaniambia huna...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu kwa wale wapenzi wa tamthilia ya queen of the south leo usiku inaendelea tena hivyo msikose kufuatilia......camila ataweza kumpiku mumewe kwa kumiliki genge kubwa la madawa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
hii movie inaeleza story ya wanawake watatu waliokuwa wakifanya kazi NASA. kipindi hicho ubaguzi wa rangi upo na wanawake hawaaminiki kwenye sayansi.
1 Reactions
17 Replies
5K Views
jana nimecheki muvi moja classic inaitwa SHAWSHANK REDEMPTION ni kali kinomaaaa.humo ndani morgan freeman kama kawaida yake hatarii
1 Reactions
3 Replies
759 Views
Msaada anae jua jinsi yakupiga kura bet awards2017
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nitawezaje kupata bet channel kwenye star times..
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Hbr Wadau Mimi Napenda Rhumba Za Koffi Olomide Taja Artist Wako Tufurahi Kuondoa #stress.
0 Reactions
9 Replies
814 Views
Amefariki leo hii katika hospitali ya Muhimbili DSM alikopelekwa jana kwa ajili ya Matibabu akitokea Newala.(Mtwara) Atakumbukwa sana hasa kwa Wimbo wake “Kila Munu avena kwao” Kila mtu ana kwao.
10 Reactions
103 Replies
34K Views
Hii aibu ya Bongo movie imezidi, naangalia Movie hapa yan mtu kalala na mwanamke kesho yake kaonekana na Mimba ####Aibu tupu
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau nasikiliza kituo kimoja cha dini ya kikristo wanapiga nyimbo za Bongo Flavour zenye meseji za Gospel ndani yake.Hakika huyu DJ ni mbunifu sijapata kuona . Baadhi nilizozisikia hadi sasa ni...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Toka muziki wa kizazi kipya ushike chart hapa nchini kumetokea wasanii lukuki waliojitahidi kuonesha uwezo wao!! Chorus nyingi zimeimbwa iwe katika nyimbo za wasanii husika ama zile za...
4 Reactions
76 Replies
19K Views
Back
Top Bottom