Kuna uhusiano gani kati ya vituo hivi vya Trace Tv, ST music, Kiss Tv, na magic tv

mackie

Senior Member
Jan 26, 2017
141
250
kuna uhusiano gani kati ya hizo channel zinazocheza nyimbo zilizopo katika billboard chart ( music on chart) kupiga nyimbo kwa upendeleo mkubwa nyimbo za nigeria zaidi..??

kwa mfano kama una king'amuzi cha startimes kuna channel kmaa st music inayopiga nyimbo za dunia zilizopo latika top chart lakini kwanini wanapendelea nyimbo za nigeria zaidi wakati wa Afromusic playlist..??

kuna uhusiano gani wa channel hizo kubwa kubase na nigeria zaidi ..na hata ikipiga nyimbo aparty from nigeria bas utakuta wimbo wa bongo unapigwa mara moja kwa mwezi au mara moja kwa wiki...

je hii ni kutokana na nyimbo za bongo kukosa radha au bei ya kuzizipiga inakuwa kubwa ...??

naomba wataalum wa hii kitu mnipe ufafanuzi juu ya channel hizo na kuplay most time nyimbo za nigeria zaidi
 
k123gan

Member
Jul 11, 2015
75
125

Kwa mtazamo wangu ni video quality. Bongo bado tunazingua sana kwenye hili swala. wasanii na madirector wachache wenye uwezo wa kutoa video ambayo ina quality (resolution na content)
 
mackie

Senior Member
Jan 26, 2017
141
250
Kwa mtazamo wangu ni video quality. Bongo bado tunazingua sana kwenye hili swala. wasanii na madirector wachache wenye uwezo wa kutoa video ambayo ina quality (resolution na content)
kwa hiyo mkuu unataka kusema video production ya nigeria iko more HD kuliko bongo lakini kama ni mambo ya HD unaiongeleaje video wiew ya nyimbo za darasa...? nahisi zipo more HD with high resolution...

kuna kitu nahis kinamis hapa....sio mambo ya HD na production...sijui lakini ni mtazamo tu
 
Je Aliisubmit kwenye hzo channel? Maana they dont take a video from no where. Kuna utaratibu wake, wa kuzifikisha pale.
 
mackie

Senior Member
Jan 26, 2017
141
250
Je Aliisubmit kwenye hzo channel? Maana they dont take a video from no where. Kuna utaratibu wake, wa kuzifikisha pale.
mmmmh.

najua kuna rules zinazogovern entertainment lakini ndo wanigeria wawe na uwezo wa kufulfil criteria kuliko wengine...kwa wengine hawapendi kusikika worldwide...??

kuna kitu hapa...maybe nitajaribu kuangalia criteria zinazowashinda watz na waafrica wengine
 
k123gan

Member
Jul 11, 2015
75
125
mmmmh.

najua kuna rules zinazogovern entertainment lakini ndo wanigeria wawe na uwezo wa kufulfil criteria kuliko wengine...kwa wengine hawapendi kusikika worldwide...??

kuna kitu hapa...maybe nitajaribu kuangalia criteria zinazowashinda watz na waafrica wengine
Mziki wao umeteka africa na wasanii wa NG wako vizuri hasa kwenye kuwekeza kweny mzki wao. Hivi wajua hata itunes wao ndo wanakimbiza kwa kuuza nyimbo zao kiafrica? Mm napenda sana muziki, ila nchi yangu tumekuwa tukizembea sana from audio to video. Tuna wasanii wachache sana bongo wenye uwezo wa kifedha za kuhimili international market. Unadhani Q chillah hana uwezo wa kuwazidi akina KCEE, Mr EAzi, akina pato n.k.
Ubunifu , fedha , elimu vitazd kutughalimu kwenye industry
 
yap exactly but pia nahis swala la lugha nahis linawabagua pia..wanakosa korabo nying za nje coz ya lugha...we are in global interaction,every body needs to here and understand what you vocalize but kama unabase na kiswahili nahis unakuwa out kiglobally...Vevo wanabagua snaa mikataba na watu wanaoimba kilugha....sijui lakini watu wanalionaje hili
 
Sikatai katika hili. Ila siku zote kizur hujiuza. Tujirekebishe kwenye content. Tuwe wabunifu kwenye audio mpaka video. Ile ngoma ya Ney - Moto kaongea ukweli. No one waits for you. Wasanii wetu wengi naona wanaogopa jaribu vitu vipya mfano mzuri transformation ya Rich mavoko. Siyo kila siku msikilizaj atahitaj kusikia flow ileile, melody zile zile. Ikifeli moja jaribu ingine. Watu hukinai mapema. Swala la ubaguzi halijaanza leo na si muziki peke yake. Ni kukaza buti tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom