Nyimbo zako bora kwa kipindi hiki

Nyimbo zako bora kwa kipindi hiki

yang

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
733
Reaction score
813
Katika radio na tv programs kuna nyimbo mpya kila kukicha na pia kuna nyimbo zinazohit kila muda. Lakini kila mtu ana nyimbo anazozipenda katika kila wakati...
Ningependa tushirikishane nyimbo zinazobamba katika kichwa chako ndani ya muda huu. Means your best songs at this time bila kujali zimetoka lini...

Binafsi nyimbo zinazobamba kichwani kwa sasa ni

Bambi - Jidenna
Rockabye- clean bandit n sean paul
Ego - willy williams
Radioactive....
 
Najuuuta ni kinda langu lenye rangi ya chungwa

Sasa nimehamia mtaa wa saba toka pale nilipokuwa nikikaa zamani...

Tutaona roho yarabii, kwa mali alizoacha Baba...

Kifoo, kifoo, kifo hakina huruma....

SIJUI KWA NINI HIZI NYIMBO ZA ZAMANI ZA WAZEE NI HIT SONG KICHWANI KWANGU HADI LEO?
 
Umesahau ile ya uke wenza....

Babmdogo

Mwanameka-.

Hizi nyimbo dah
 
Katika radio na tv programs kuna nyimbo mpya kila kukicha na pia kuna nyimbo zinazohit kila muda. Lakini kila mtu ana nyimbo anazozipenda katika kila wakati...
Ningependa tushirikishane nyimbo zinazobamba katika kichwa chako ndani ya muda huu. Means your best songs at this time bila kujali zimetoka lini...

Binafsi nyimbo zinazobamba kichwani kwa sasa ni

Bambi - Jidenna
Rockabye- clean bandit n sean paul
Ego - willy williams
Radioactive....
Sawa wewe ni MSOMI....UNAPENDA NYIMBO ZA KIZUNGU.

HILO NDILO ULILOTAKA/HICHO NDICHO ULICHOTAKA TUJUE...
 
Aiseee me cjaona zlizotoka
Kwa sasa otherwise n za zaman tu ndo znanibamba

Alikufa kwa ngoma (fa ft jde)
(Ay ft quck rock) jina la wimbo
Silikumbuk
Kamwambie (domo)
jde ft mr blue jina la
Wimbo pia nasahau
Darubin (afande sele)
Kinamama wa leo (rose muhando)
Wakawaka (shakira)
Waraka (bahat bukuku)
Maisha ya boarding (j more)

Namuongezea Justin Berber
Sorry

Dedication ray c ukowap
To ukhuty
 
Sawa wewe ni MSOMI....UNAPENDA NYIMBO ZA KIZUNGU.

HILO NDILO ULILOTAKA/HICHO NDICHO ULICHOTAKA TUJUE...

Hujaelewa kilichoandikwa mkuu. Soma tena. Af hakuna uhusiano kati ya usomi na kiingereza...
 
Najuuuta ni kinda langu lenye rangi ya chungwa

Sasa nimehamia mtaa wa saba toka pale nilipokuwa nikikaa zamani...

Tutaona roho yarabii, kwa mali alizoacha Baba...

Kifoo, kifoo, kifo hakina huruma....

SIJUI KWA NINI HIZI NYIMBO ZA ZAMANI ZA WAZEE NI HIT SONG KICHWANI KWANGU HADI LEO?

[emoji3]Mkuu joseverest hizo zinabamba everytime..
Nipe na nyingine zinazokuja na kuondoka kichwani
 
Aiseee me cjaona zlizotoka
Kwa sasa otherwise n za zaman tu ndo znanibamba

Alikufa kwa ngoma (fa ft jde)
(Ay ft quck rock) jina la wimbo
Silikumbuk
Kamwambie (domo)
jde ft mr blue jina la
Wimbo pia nasahau
Darubin (afande sele)
Kinamama wa leo (rose muhando)
Wakawaka (shakira)
Waraka (bahat bukuku)
Maisha ya boarding (j more)

Namuongezea Justin Berber
Sorry

Dedication ray c ukowap
To ukhuty

Mkuu bongo flavour za zamani ni noma
Me natafuta album ya HBC funga kazi ikiwa ktk mp3 mpaka leo sijapata. Ilikuwa noma sana
 
Back
Top Bottom