Huu wimbo utata mtupu!!

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,770
10,660
Hivi kwenye wimbo "chambua kama karanga" Saida Karoli anazungumzia mapenzi mubashara kati ya Halid na Philemon, na kuwataka wenye wivu wakitundike kitanzini. Hii kitu imekaaje!?

 
Nausikiaga saana mkuu ila leo, Mhhh umenifungua mawazo yangu. Sikuwahi usikiliza kihivyo. Aksante mkuu. Haya huyu mama akuje huku aufafanue isijekuwa anamsifia bwabwa flan hivi
 
Juzi kati alihojiwa kuhusu hilo,akajibu,ilitakiwa iwe philemonia,ambalo ni jina la kike,ila wakati wa kuimba likaleta shida,ko walifupisha ili asitoke nje ya mpangilio.
Kwanini asingeweka jina lingine la kike linaloendana na hilo?
 
f94e288c502e29b4ba2aa27ec655787e.jpg

Kama Hawa au
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom