Top ten zangu za R&b and Hip hop songs of all time

Guevara Jr

JF-Expert Member
Mar 29, 2017
300
811
Habari za leo wakuu,
Kama mdau mkubwa wa industry yetu ya music bongo,Leo nimeandaa orodha ya nyimbo zangu ishirini bora za r&b(10) na hip hop (10) za leo hadi zamani.In short ni nyimbo ambazo huwa nazisikiliza sana na kuzikubali
Nimezipanga kulingana na ubora wa wimbo na sio ubora wa msanii kutoka ya kumi hadi ya kwanza...twende sawa

Naanza na R&b

10 Usiniache- Chelea Man

9 Ritha- Marlow

8 Kesho- Diamond

7 Sitorudi- QJ ft Joh Makini

6 Nifanye wako- Maunda zolo

5 Sophia- Ben pol

4 Na wewe- 2berry

3 Sumu ya penzi- Belle 9

2 Usijali/Kikao cha family- Rama dee

1 Mwana- Ali Kiba

Hi hop

10 Darubini kali- Afande selle

9 Ingekuwa vip- Mwana Fa ft Jay mo

8 Hawatuwezi- Nako 2 Nako

7 Ufalme- Joh Makini

6 Toa hela- Jaffarai ft Ay

5 Dear God- Kala Jeremiah

4 Sauti ya Jogoo- Nikki Mbishi

3 Propaganda- Fid Q

2 Mr President- Roma Mkatoliki

1 Sitory 3- Jay mo

Nota Bene,

Sijazingatia wimbo ulitoka lini au msanii ana jina kiasi gani,la hasha! Ni kulingana na jinsi navyozipenda nyimbo hizo.Nasikitika nyingine kali nimeziacha nje tena nyingi tuuuu na hapo nafungua mjadala na wewe kuweka zako au kutoa maoni....Maisha na Muziki havitengamani.Orodha hii ni kuanzia leo kurudi nyuma in the early 2000's
 
Tumezichoka mada za hivi.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom