Azamu kuiondoa Tv 1 kwanini?

babu na mjukuu

JF-Expert Member
Jun 23, 2016
2,675
2,000
Yani king'amuzi cha Azam wamefutilia mbali Tv 1 hata bila Taarifa.
Wakati walikuwa wanaonesha michuano ya mipira mbalimbali,ikiwa ni pamoja na confederation cup.
Kwanini Azam?
Walitoa taarifa. Huenda wewe ndio hukuipata.
TV 1 wametaka wenyewe waondolewe
 

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
4,854
2,000
Kumbe ndo maana nimenunua kirufushi Azam, So natafuta TV 1 nicheck mechi ya Mabara siioni..
Kwa hyo wamehamia company gani..?
 

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
4,854
2,000
Kumbe ndo maana nimenunua kirufushi Azam, So natafuta TV 1 nicheck mechi ya Mabara siioni..
Kwa hyo wamehamia kwenye king'amuzi gani..?
 

finyango

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,005
2,000
Wakuu msipanic,mi mwenyewe nilichemka siku moja,ila sasa wanaaita tv1 tanzania,chanel 119,game zote utazipata hapoa,pia kbs nao wanaonesha kama sikosei
 

Karne

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
4,843
2,000
Tido na crew yake wanaona NDONDO CUP na COSAFA ndiyo zina maana zaidi ya Confederation Cup ya Russia.

Yaani TV1 wameweza halafu Azam yenye utitiri wa chanels na resources kibao imeshindwa?

Hii nchi ujinga mwingi sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom