Kasanjo
Member
- Jul 29, 2015
- 60
- 28
Kwa Tanzania chess ni mchezo mchanga sana na cjawah pita sehem nkaona watu wakicheza ,so probably kama upo utakua haujafanyiwa advertisement yakutosha like other games kama draft ambao kuna mashindano ad kimkoa...Mimi nataka kujoin kwny chess club niparticipate kwny competitions zao so if anyone knows anythn helpful on dis baas naomba anisaidie....