Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kwa wale wote wanapenda kuangalia Series na movie Gusa hii link itakufaaa pengine DOWNLOAD SERIES,MOVIES, SEASONS, DOCUMENTARIES NA ANIMATIONS
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Lionel Messi has signed a new contract at Barcelona, keeping him at the club until 2021. His release clause is €300m.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Huyu ommy jamani sio mtu mzuri baada ya braza kaka kuachia Eneka ghafla cheche imelizima jiji lote la Dar es salaam uyu braza anaimba aisee Ommy sio was sport sport
4 Reactions
19 Replies
2K Views
! ! Nadhani wimbo unajieleza, na as long as unatwangwa kwenye radio stations na sijasikia lolote basi nalazimika kuamini una baraka zote za BASATA. Nampa, nampa, nampa nampa Papa.
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru mwenyezi MUNGU muumbaji wa mbingu na nchi kwa kutufanikisha tena kuiona siku ya leo. Pili napenda kuwapa pole mashabiki "UCHWARA"wanaopenda kuwapa sifa za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MWIMBAJI mkongwe Shaaban Dede amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa siku kadhaa. Dede, mwanamuziki wa Msondo ambaye pia aling’ara na...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Alexandre Lacazette keshamaliza Vipomo Pale Arsenal uhamiso wa Ada £44 million.
2 Reactions
2 Replies
628 Views
Nataka kuandika Riwaya Je Mode kuna Masharti ya kufuata?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Picha hapo juu ikionesha logo ya radio Pekee AFRIKA mashariki inayorusha MATANGAZO yake moja kwa moja YAANI Live huku ikisheheni vipi mbali mbali VYA utamaduni habari, sanaa na michezo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu! Tanzania tulikua na Kili Music Award ambazo zimekua na changamoto nyingi ila bado ni tunzo ambazo ziliwatia moyo sana wanamuziki wa hapa nyumbani. Nimepata wazo sisi kama jumuiko...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Itakua moto hii...kwa hiyo teaser tu nimeielewa. Long live River Camp.
3 Reactions
22 Replies
8K Views
Hii nyimbo iko poa sana
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msanii anaitwa Ndela wimbo unaitwa Sijutii Sasa kila nikiwasha redio nauskia unapigwa, ila kila nikiiutafta google haupo. Ni wimbo mzuri sanaa huu, dogo katoka kwa hakika. Mwenye nao autume...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu mazee poleni na pilika za wiki nzima nachukua fursa hii kuwapongeza east africa tv/radio kwakutuletea burudani Ni leo jumamosi show ni wakongwe kibao stejini nadhani ni siku nzuri...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari Ndugu zangu. Naomba kusaidiwa jina la wimbo WA hawa jamaa wa kitambo kidogo kwenye game Mmoja akifahamika kama Man dojo na mwingine Domo Kaya. Baadhi ya mistari ni hii kwenye kiitikio...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Oii ...back in tiiiimee...mko poa ma-old school wenzangu nineamua kuanzisha thread hii mahususi kwa ajili ya vijana wa zamaani tuongelee kuhusu maisha ya zamani especially miziki ya nje "old...
2 Reactions
122 Replies
12K Views
Walianza hivi. Sasa ni hivi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wonder Woman‘s shine cannot be dulled. The film, starring Gal Gadot and directed by Patty Jenkins, achieved another milestone in becoming the highest-grossing film within the DC Extended Universe...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hizi movie za hawa gabachori ni kiboko, sijui wanajisikiaje wanavyotuigizia hivi maana eti mtu anarusha gari na mkono mmoja anaponda helkopta, yaan ni hivi kuna jamaa anapigana sasa inakuja...
2 Reactions
30 Replies
10K Views
Back
Top Bottom