Kuhusu hii performance ya R.Kelly

Kuhusu hii performance ya R.Kelly

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
627
Reaction score
1,153
Habarini wana jamvi, naomba muangalia clip hii hapa chini ya performance ya R.Kelly then mnisaide kuniambia Kama ni kweli au imeeditiwa,maana Kama ni kweli basi jamaa ana pumzi si mchezo.
 
Bando langu haliniruhusu kuangalia video ya dk 9......atakaeangalia atanisimulia
 
Back
Top Bottom