Kupitia mtandao wa twitter wa star wa Nigeria @Patorankingfire ameweka wazi siku ambayo ataachia ngoma yake ya #LoveYouDie alomshirikisha@Diamondplatnumz aliandika hivi.
"Wait for it" Je...
nmeangalia video mpya ya diamond ENEKA jamaa katisha kwa kweli apa kina davido ,wiz tecno watasubiri xanaaaa
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Habari wana JF!
Naomba kuuliza jamani kuhusu huu mchezo wa boxing.
Hivi huwa wanaangalia vigezo gani hasa ili mtu kupata ushindi?
Nimeona mapambano kadhaa lakini huwa yananipa changamoto kuhusu...
Wasalamu JF members,kwa wale wapenzi na wafuatiliaji wa Mtv Shuga inaendelea na Tanzania tunawakilishwa vyema na Msanii wa bongo fleva Vanessa Mdee,hivyo Basi kwa anayejua link ya kuweza...
wakuu kuna movie inaitwa the birth of the dragon imetoka mwaka jana mwishoni mishoni mwa mwaka mwenye nayo tafadhari maana nimeitafuta kila mahali napoweza nimeambulia patupu.
Wasalamu JF members,kwa wale wapenzi na wafuatiliaji wa Mtv Shuga inaendelea na Tanzania tunawakilishwa vyema na Msanii wa bongo fleva Vanessa Mdee,hivyo Basi kwa anayejua link ya kuweza...
Wasalamu JF members,kwa wale wapenzi na wafuatiliaji wa Mtv Shuga inaendelea na Tanzania tunawakilishwa vyema na Msanii wa bongo fleva Vanessa Mdee,hivyo Basi kwa anayejua link ya kuweza...
Habari zenu wakuu.
Kuna nyimbo za injili kutoka albam fulani hivi nilikuwa nazisikiliza sana kipindi bado mdogo. Kwaya iliyoinba siikumbuki ila baadhi ya mistari ninayokumbuka ilikuwa hii...
Wale wananaopenda action za bongo hapa ndio uwanja wetu. Taja action movie unayo ikubali kutoka bongo.
Mimi. 1. BAGA
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Kuna series moja hivi inaitwa The 100, aisee kama hujaiona fanya kufatilia.. Cuz ni bonge moja la series hivi kali na kuna adventure za hatari... Ninauhakika ukiona lazima utaikubali 2
"Na sasa naondokaaa, nakwenda zangu, katika kijiji mwenzenu, cha ujamaaa. Nimechoka sasa jamani, na mambo ya mjini.
Nakwenda, ndugu zangu wamenieleza niende katika kijiji cha ujamaaa...
Samahani kwa nitakaowakosea!
Napendekeza Diamond apewe tuzo ya heshima ya kukieneza kiswahili kama sehemu ya utamaduni wetu, pili atambuliwe kama shujaa wa nchi katika kusaidia watu, amejitoa...
Naomba mnisaidie nyimbo ya mwana Hip Hop Zola D amemshirikisha D-Knob nyimbo inaitwa "Jana sio leo" mana nimeitafuta video yake youtube na audio yake bila mafanikio.Hii nyimbo ni ya zamani kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.