Msaada wakuu kuhusu wimbo huu wa lady jay dee

Msaada wakuu kuhusu wimbo huu wa lady jay dee

mwanaMtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
2,393
Reaction score
1,433
Jamani kuna nyimbo aliimba lady jay Dee ina mahathi ya kidini najaribu kuikumbuka nashindwa. Aliimba na mtu kama sio msouth afrika mganda. Msaada wakuu anaeukumbuka
 
Aliimba na Ali Kiba, wimbo unaitwa Cinderella
 
Leo nina mood ya kuskiza nyimbo za kawaida zenye mahadhi ya dini.
Mpaka sasa nina
Ay ft Sauti sol ~ i dont wanna be alone
Sauti sol ~ kuliko jana
Yemi Alade ~Na Gode ('Swahili)
Giddy ft Godzilla ft Young dee ~One minute
Na sasa naongeza hii
 
Usisahau na Bongo Bahati Mbaya mkuu(Hili li wimbo silipendi[emoji35] [emoji34] [emoji35] [emoji34] )
 
Leo nina mood ya kuskiza nyimbo za kawaida zenye mahadhi ya dini.
Mpaka sasa nina
Ay ft Sauti sol ~ i dont wanna be alone
Sauti sol ~ kuliko jana
Yemi Alade ~Na Gode ('Swahili)
Giddy ft Godzilla ft Young dee ~One minute
Na sasa naongeza hii
Ongeza na hii ya FA ft Jide - siku macho nikiyafumba.(sina uhakika na jina la huu wimbo)
 
kwa hali uliyo nayo sikiliza pia wimbo unaitwa

JIPE MOYO WA FLORA
 
Leo nina mood ya kuskiza nyimbo za kawaida zenye mahadhi ya dini.
Mpaka sasa nina
Ay ft Sauti sol ~ i dont wanna be alone
Sauti sol ~ kuliko jana
Yemi Alade ~Na Gode ('Swahili)
Giddy ft Godzilla ft Young dee ~One minute
Na sasa naongeza hii
Giddy+Godzlla+ Young D...Hapo uko sawa, nyimbo waliimba kwa hisia sana...

Nadhani ni nyimbo zinazo mpa Godzilla DEEP FEELING kiasi hayuko katika line.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom