Polisi mmewaona WCB au?

Hivi hizi fujo tulizofanyiwa leo barabarani na hawa wanaojiita WCB wakiongozwa na diamond platnumz wakitoka kumpokea mwenzao Rayvanny mmeziona au wenyewe wapo juu ya sheria maana bado kidogo tu nipate ajali kwa sababu ya waliyokuwa wanafanya barabarani
So imekuuma
 
Mkuu utapoteza muda bure, wengi hawatakuekewa kwa kuwa licha ya uwezo mdogo wa kupambanua mambo, pia hawatumii ubongo kuwaza bali moyo. Utapoteza muda bure na hakuna atakaetoa hoja zaidi ya povu, wachache ndo watakuelewa.
Sasa kwanini wewe ukumpa ushauri,badala yake umetumia komenti yako kusuta wengine ???
 
Mkuu utapoteza muda bure, wengi hawatakuekewa kwa kuwa licha ya uwezo mdogo wa kupambanua mambo, pia hawatumii ubongo kuwaza bali moyo. Utapoteza muda bure na hakuna atakaetoa hoja zaidi ya povu, wachache ndo watakuelewa.
Kweli hawawez kunielewa ushabiki wa timu zao wameuweka mbele
 
Back
Top Bottom