Franco, Michèl Boyibanda, Josky Kiambukuta, possibly Lola Chécain sing. This song was forbidden by the regime (of Mobutu).
piquedard translated (here Below:
You, old man, Lewis!
In life, an...
Bongo fleva inazidi kushika kasi kwa kuwa ushindani unazidi kuongezeka.
Naweza kuwashindanisha kama ifuatayo.
1.Diamond Platnumz vs Ali Kiba
Diamond ni mwanamzuki mwenye mafanikio makubwa...
Amekusanya pesa nyingi sana za watu wenye huruma...anadai anaelekea India kwa matibabu
ile picha ya cannula mkononi inashangaza sana
Bado napata hofu kama kuna daktari wa kihindi atakuwa...
Nimepata kusikia story hii kwa muda mrefu, mwisho leo nimeona mahali pameandikwa kwamba nyoka amgonga mtoto mdogo baada ya wazazi kutaka kumuua nyoka huyo, inasemekana nyoka huyo alikuwa akicheza...
Nimethibitisha kupitia watoto wa shuleni ukipiga nyimbo zake wanazijua.
Pia 90% tuliomo humu tumezaliwa wakati ye kashafariki na tunajua nyimbo zake .....
NB:Good music ..tunasikiliza sana usiku...
Binafsi ni mpenzi sana wa muziki wa dansi. Iwe ni dansi ya Tanzania au nje ya Tanzania. Muziki wa dansi asili yake ni Kongo. Hii inahusisha rhumba(dansi ya taratibu) na pia soukous(au sebene...
Hivii kwa nini Msanii akikosana na CLOUDS MEDIA mara nyingii anaishia kupotea kwenye Game ya muziki hata kama akitoa Nyimbo kalii vip hazisikikii kabisaa na hata watuu hawamfatilii sanaa???? Mfano...
Wimbo wa huyu msanii kuanzia mdundo, sauti hadi mashairi na maudhui yake yamejaa ubunifu wa hali ya juu sana. Kwa kweli amejitahidi sana huyu Dogo kwa utunzi murua.
Mi nikisiliza mahali popote...
Kwanza kabisa naomba jamii forum msiuonganishe huu uzi. Kwa ridhaa yenu. Hata kama uko popote this is a special thread for me.
Muogope sana mtu ambaye ameshikilia ugali wako. Hata kama utakuwa...
Mabibi na Mabwana Aslay baada ya subalkheri leo Hii Aslay ametuletea hii Nyingine Ambayo akiwa amemshirikisha King Kaka Wimbo Unaitwa Makusudi
Bonyeza link hapa ili kusikiliza ama ku download...
NYIMBO SITA KUBWA ALIZOANDIKIWA DAVIDO KWA SIRI
Sio jambo jipya kusiki msanii mkubwa kuwa na Ghost Writes 'Waandishi wa Muziki wa Siri' kwenye kazi zake.
Msanii kama Beyonce alinunua...
habari wana Jf.
nilikuwa naombi, mtu mwenye nyimbo za huyu mtaalam wengi hupenda kumuita profesa
Mohammed Ilyas. naomba mwenye nyimbo zake zote hata chache naomba aweke humu,
coz nimejaribu...
Habari zenu wana jf
Kam kichwa kinavosema tunaweza kwa tuliopo kweny mwendokasi mda huu tumaweza fanya maongezi
Nb: Uzi huu utakua unafanya kazi watu mkiwa kweny mwendokasi ukishuka sign out na...
UBETI WA KWANZA
Figure huonekana hata kwenye baibui
Mchovu akipewa hilo zigo hainui
Chungu cha moto bila ufundi haivui
Wachina wanaleta mbolea haujui
Mi nalipenda likiwa so natural
Au...
Kauliza Salaam meneja wa Diamond!
Pia kapost picha za Shilawadu. Ni kama ana-show ni wazima wa afya.
Na RC yuko na dancers anayetuhumiwa kufanya vurugu hadi kuwavunja mikono. Am not sure km...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.