Waimba taarabu wote wa kiume

Galadudu

JF-Expert Member
Jun 23, 2014
2,305
772
Jaman waimbaji wote wa taarab wa kiume pamoja na wapenzi na mashabiki wao wa muziki huo, naombeni saaaaaana mnisamehe kwa hili.
Zamani nilikuwa najua kwamba wanaume wote wanoimba aina hiyo ya ni lazima huwa wanafanyiwa mchezo mchafu na wanaume wenzao.
Na sababu ya kuhic ivo imetokana na staili au matakwa ya nyimbo hizo kwamba muimbaji ni lazima abane pua....lakin pia na aina ya mashabiki wa hizo nyimbo ambao wengi wao walionekana wanaume sio "chakla".
 
Mbona mfalme wao ana wake wawili. Ule ni muziki kama aina nyingine za muziki hayo mambo ya mchezo mchafu ni hulka ya mtu binafsi si muziki.
 
Hivi wewe NDUME kama Isa Matona ulitegemea awe punga ? shika adabu yako.. Au yule aliyeimba wimbo wa Asu aliyekua na kesi ya kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile ulitegemea awe pishi. we vipi.
 
Mbona mfalme wao ana wake wawili. Ule ni muziki kama aina nyingine za muziki hayo mambo ya mchezo mchafu ni hulka ya mtu binafsi si muziki.

Ndo maana nikasema zamani nilihic ivo...lakini kwa sasa cna tena hisia hizo mkuu
 
Hata sifahamu una maanisha nini kweney hili,naona shaghalabaghala tuu........... kubana pua umekuona kwenye Taarab tuu?
 
Hata sifahamu una maanisha nini kweney hili,naona shaghalabaghala tuu........... kubana pua umekuona kwenye Taarab tuu?

Nimeleta kilichokuwa akilini mwangu na wala sio kilichokuwa akilini mwako
 
Mbona mfalme wao ana wake wawili. Ule ni muziki kama aina nyingine za muziki hayo mambo ya mchezo mchafu ni hulka ya mtu binafsi si muziki.

Kwani kuwa na mke kunazuia nini?

Hawa waimba taarabu hasa wakutokea Zenj wengi wao ni chakla..afadhali ya Bongo

Kiringo kawatafuna sana hawa..Usiwaone wana wake wawili na kuvaa suruali ..

Wengine Mabwana zao wako Nchi za watu..Wanapewa mialiko tu..
 
Back
Top Bottom