Hii Season ni kali

Hii Season ni kali

charrote

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
1,989
Reaction score
4,413
Habari za kutwa

Kwanza Kabisa Mimi binafsi ni mpenzi mkubwa wa hizi mambo. Leo napenda nikushirikishe Season tamu ya kikorea iitwayo INNOCENT DEFENDANT, mazingira yake ni mjini inamuhusu mwanasheria mashuhuri Jung woo ambaye anafatilia kesi ya tajiri cha min ho(anayedaiwa kuua) chá min Ho ana pacha wake wanafanana sana.
Baada ya kesi kuwa ngumu chá min Ho anamuua pacha wake kisha yeye anachukua nafasi ya marehemu kwa kutumia jina lá marehemu kisha kuiga wasifu wote wa marehemu. Anafanya hivi ili kesi ifungwe kwakua muhusika amekufa, ,watu wote wanaamin.. Wote isipokua mwanasheria Jung woo Huyu anaamua kuvimba na kesi ambayo mbeleni inakuja kumletea matatizo makubwa.

Salute kwao wakorea, ukiangalia hii kitu hautojuta.... Zingine tujuzane
 
Mkuu mbona upo nyuma ya wakati.. Hiyo season tushaichek miezi 6 au 7 ishapita... Yah ni moja ya season kali kwa mwaka huu 2017
 
Ulikua wapi miezi yote 7 kuwahabarisha members kama alivyofanya mdau?
Otherwise hakukuwa na maana ya wewe kuonyesha ndo unaenda na wakati!
 
Hiv ni season ama series..lugha gongana kidogo,..anyway sio kesi,msg sent
 
Inaanza Scene, inakuja Episode, inakuja Season then vyote hivyo vipo ndani ya Series! Season ni muunganiko wa Episode kadhaa..
So jina sahihi ni Series coz ndo full package....!
 
Habari za kutwa

Kwanza Kabisa Mimi binafsi ni mpenzi mkubwa wa hizi mambo. Leo napenda nikushirikishe Season tamu ya kikorea iitwayo INNOCENT DEFENDANT, mazingira yake ni mjini inamuhusu mwanasheria mashuhuri Jung woo ambaye anafatilia kesi ya tajiri cha min ho(anayedaiwa kuua) chá min Ho ana pacha wake wanafanana sana.
Baada ya kesi kuwa ngumu chá min Ho anamuua pacha wake kisha yeye anachukua nafasi ya marehemu kwa kutumia jina lá marehemu kisha kuiga wasifu wote wa marehemu. Anafanya hivi ili kesi ifungwe kwakua muhusika amekufa, ,watu wote wanaamin.. Wote isipokua mwanasheria Jung woo Huyu anaamua kuvimba na kesi ambayo mbeleni inakuja kumletea matatizo makubwa.

Salute kwao wakorea, ukiangalia hii kitu hautojuta.... Zingine tujuzane
Niliishia jamaa akitoroka jela. Nijaalie muendelezo wake kama unayo plz!
 
Mkuu mbona upo nyuma ya wakati.. Hiyo season tushaichek miezi 6 au 7 ishapita... Yah ni moja ya season kali kwa mwaka huu 2017
Upo vizuri. Unazipakua kwa application gani Mkuu? Nilikuwa natumia dramanice saizi naonainazingua. Msaada please
 
me huwa na stream moja kwa moja kupitia web ya kissasian.ch..ila ukitaka kudownload hakikisha computer yako ina software ya Internet download manager
 
Hii movie ya INNOCENT DEFENDANT nimeishia jamaa akitoroka jela.
Kama kuna aliyenayo muendelezo wake anifanyie ihsani tafadhali.
 
Bonge ya season aisee hyo jamaa ni bonge LA sniper baada ya Ku escape gerezan..ifuatilie mm sina.
 
Kali ni Unsolved tu!Inayoelezea 2Pac na BiG walivyouawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom