Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hichi kipindi cha sam misago eatv nilikuwa nakifuatilia sana zamani nilikuwa sikosi mambo yalikuwa hot surprise kibao za wasanii wakija kuzungumzia kazi zao Ila siku hizi naona kama mambo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Huwa nikisikiliza nyimbo za wasanii mbalimbali ambazo production ni ya Abbydad naona ni nyimbo kali sana Binafsi nyimbo mbili hizi...Aje-Ali Kiba na Rudi- Richie Mavoko...kwangu hazichuji kabisa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jamani naomba analyss ya hizi sample za beats please let us be positive minded na ushauri mzuri unahitajika
1 Reactions
44 Replies
8K Views
Znaanza linii Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
745 Views
Yamewadia baada ya safari ndefu ya kuanzia kick off ya NBA REGULAR SEASON iliuokutanisha Tim 30 za west 15 Na east 15.....hatimaye playoffs....ikaingia ambapo timu 8 kutoka east Na west...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bila kupoteza muda nikukumbushe wale vijana wakigiriki na meli zao Mnakumbuka wapi mnaposikia hivi vitu 1.The manhattans.. Kiss and say goodbye 2.The commodores.. Night shift 3Three degrees.. When...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Chama cha mapinduzi na watu wake kilivaa rangi nyekundu, na walipenda kuonyesha dole gumba, nilikaa nikajiuliza hivi hawa ni CHADEMA wanaotaka kuwa Wanaccm au,,,,, Nilishangaa sana kuona hata...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
ASIA DIGITALI *******UTANGULIZI.***** . . Maisha ni jinsi unavyoyachagua wewe, ukipenda yawe hivi basi yatakuwa ulivyopanga. Ni jitihada za mwanadamu kujichagulia maisha. . . Asia anajikuta...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Mara ya mwisho kusikia msanii mkubwa wa Marekani amekuja Tanzania na kufanyia video yake huku ni Oktoba 2007. John Legend alisafiri hadi visiwani Zanzibar kwenda kushoot video ya wimbo wake Show...
3 Reactions
94 Replies
11K Views
Basata alichofanyiwa Giggy money basi hata huyu shemela kwa kakaetu Dangote achukuliwe hatua.
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Tukiacha utimu ukabila nchi na ubaguzi, hivi ni nani anayejua zaidi ya huyu Jamaa Nyanshiski? Leo katoa tena dude linaitwa Beibe ni zaidi ya Malaika Kwangu mimi Nyanshiski ni the best East...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Febrauary 14 ni mashuhuri duniani kama valentine day yaani siku ya wapendanao duniani. Siku hii imekuwa siku ya kufanya biashara na watu wanaitumia kujitajirisha na kufanya biashara zaidi. Lakini...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Hii ni thread maalum kwa wapenzi wa filamu za kiswahili hasa za kitanzania. hapa utapata nafasi ya kujua muvi gani ya kiswahili imeingia sokoni, muvi gani inafanya vizurri. kila siku utapata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii ni thread maalum kwa wapenzi wa filamu za kiswahili hasa za kitanzania. hapa utapata nafasi ya kujua muvi gani ya kiswahili imeingia sokoni, muvi gani inafanya vizurri. kila siku utapata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
PDF ya Bad Valentine.
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Hawa jamaa wanajua
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naeza sema wewe ni mzuri ila siwezi kusema unauzuri wa kuisimamisha Dunia.Sijui uchawi gani huwa upo kwenye hisia za binaadamu hasa wa kiume tunajisahau sana hasa tunapoingia kwenye ulimwengu wa...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wadau. Leo ile movie ya action ijulikanayo kama kingsman 2: the golden circle inazinduliwa huko Marekani na sehemu kadhaa duniani. Katika part 2 ya hii movie inajikita kuelezea kisa mara...
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Papi nguza maarufu kama papii kocha ameyaeleza hayo katika wimbo wake huu hapa Kumbuka usipite bila Ku Like Uzi huuu
2 Reactions
4 Replies
6K Views
Wadau, Kwa yeyote mwenye Gaither gospel series hasa videos na ziwe katika softcopy anisaidie ama aniuzie. Kama zipo kuanzia 50 na kuendelea itakuwa vzr zaidi. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Back
Top Bottom