Jcb yuko arusha asee, na saivi yuko mombasa kwenye show, yuko poa sana tu,wadau mngekuwa na uwakika na kitu ndo mcoment sio lzma kuonyesha wivu au chuki zenu waziwazi ivii asee
Kwanini umemwita mke wa JCB kibibi? Kwani ana umri gani?JCB aliolewa na kibibi cha kizungu kikampeleka sijui nchi gani huko.Ila ni scandinavia
Chuki ni wivu halafu wivu sio hip hopJCB aliolewa na kibibi cha kizungu kikampeleka sijui nchi gani huko.Ila ni scandinavia
Wivu gani sasa mzee?Chuki ni wivu halafu wivu sio hip hop
Sasa mke wa JCB ni kibibi ??? Hapo tuu ndo penye wivuWivu gani sasa mzee?
Kwani mke wa JCB sio mzungu?
Kwani JCB haishi nchi iliyopo huko Scandinavia?
Kwani mke wa JCB sio mkubwa kuzidi JCB?
Wabongo ukisema ukweli kama ulivyo watu wanasema wivu.