Wachekeshaji bora Tanzania hawa hapa

Wachekeshaji bora Tanzania hawa hapa

Akilidebe

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2018
Posts
204
Reaction score
124
Kwa kipindi kirefu nimekua nikifuatilia sanaa ya uchekeshaji, nimeamua kuwaletea Wachekeshaji bora wanaofaa kuigwa.

1 King Majuto
2 Senga
3 Joti
4 Ringo
 
1.Polepole
2.Kigwangala
3.Mlinga
4.Kibajaji
5.Machali
6.Senga
7.Ringo
8.Majuto
9.Pembe
10.…
 
Braza fuli, dada mange na nabii wa kanisa la walevi na wazinzi tito
 
1. Joti
2. majuto

Kwa wale wapya wapya wanokuja kwa kasi ni 'mkali wao'
 
Back
Top Bottom