UEFA KNOCKOUT STAGE

UEFA KNOCKOUT STAGE

Joined
Feb 18, 2018
Posts
9
Reaction score
4
Kulingana na historia ya mechi ya chelsea na barcelona inakua ngumu kutabiri moja kwa moja nani anapita kati ya hizo timu mbili...
Barcelona amekua na msimu mzuri sana na hii inatokana na Magician Messi kutakata katika mechi nyingi huku chelsea wakionekana kusuasua chini ya Antonio conte..
Ikumbukwe tu kua chelsea ni moja ya timu ambayo Leonel Messi hajawahi kuonja ladha ya kuwafunga na tegemezi la chelsea kwa miaka iliyopita King Drogba hayupo tena ndani ya uzi wa blue..
Je tutarajie nini katika mechi hii?? Nani atatakata kati ya Hazard na Messi?? Nani kumtoa wenzake??
bd19b967dd80a6264dd709175181d9b4.jpg
 
Chelsea wakitaka kuifunga Barcelona watumie Mfumo Huu

4-4-2

Defenders
Azpculeta,Rudiger, Christen, Alonso

Midfields

Hazard, Kante ,Fabregas Wilian

Strikes

Giroud , Morata


Hii kikosi ikitulia Baraca anapigwa 3
 
Mkuu Hii Kikosi wakicheza kwa Displine wanataoboa

Barca Kati hakuna mtu wa kupambana na Kante alafu tutakua na washambuliaji wanane

Hazard, Willian, Morata , Giroud

Ces atakua anatoa pasi na Kumpa Ushirikiano Kante na Wings
na iwe hivyo, hao barca wapenda sifa sana...
 
Chelsea wakitaka kuifunga Barcelona watumie Mfumo Huu

4-4-2

Defenders
Azpculeta,Rudiger, Christen, Alonso

Midfields

Hazard, Kante ,Fabregas Wilian

Strikes

Giroud , Morata


Hii kikosi ikitulia Baraca anapigwa 3
Wakicheza 4-2-3-1 je?

Defenders; azpilicueta,christensen,luiz,alonso

Defensive mid; kante,fabregas

Attacking mid; hazard,willian,pedro

Forward; morata/giroud
.
.
.
Naona hiki kimetulia zaidi
 
Back
Top Bottom