Hayo ni mawazo yako mkuu.Ana andaliwa kuja kuchukua mikoba ya Diamond
Hayo ni mawazo yako mkuu.
Ninachoamini mimi ni kuwa si lazima tuwe na msanii mmoja tu mkubwa. Kwanini tusiwe kama Nigeria?
Yaani tunashindwa kuwasupport wasanii wengine eti kisa watamuangusha mond!!!? Huu ni ushamba kwakweli. Kama mond anaweza, anaweza tu. Tuwapandishe na wengine wawe juu