Mc Pilipili: Gwiji la VICHEKESHO DUNIANI akiwa London

mmmh, sasa Sijui Mr bin atakua nani.... dogo anajitahid sana ila habari umeleta kwa mihemko...hongera pilipili
 
Gwiji? Unamjua professor hamo?

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Watanzania tuna roho mbaya sana.....tumetawaliwa na mawazo hasi ambayo yanatufanya tuamini katika kushindwa siku zote....

Mawazo hayo hasi yanatufanya tuwe na fikra mgando kiasi kwamba tunayaona mafanikio ni kitu cha ajabu sana......

Nafsi zetu hazipendi kuona mtu akifanikiwa kwa jambo lolote lile..tutafanya kila njia ili tumuangushe aliyefanikiwa.....badala ya kumtia moyo...

Hata hao wanaokutia moyo sio kwa dhati kutoka kwenye nafsi zao kwani hao hao ndio wanakuwa watu wa kwanza kukusengenya pindi mambo yatakapokuendea kombo.......

Chuki na husda zinakuwa kali zaidi hasa mafanikio hayo yakiwa yanahusisha MTANZANIA MWENZETU......

NB;

dc46367e0a3c7e945d0b6fc7da89a396.jpg
 
Hayo mashindano yalifanyika wapi na lini? mpaka yeye ndio akashinda na kutambuliwa kua ndio Gwiji la vichekesho duniani? bila shaka mleta mada ndio Mc pilipili mwenyewe umekuja kujipigia debe humu!

Unajitahidi but hiyo level ya ugwiji duniani bado hujaifikia.
 
Kama mashindano ya kumtafuta gwiji hayajawahi kufanyika sasa unapinga nini mleta uzi kudai pilipili ndio gwiji? Kwako wewe gwiji ni nani na alishinda wapi hadi kuvikwa ugwiji
 
Watanzania tuna roho mbaya sana.....tumetawaliwa na mawazo hasi ambayo yanatufanya tuamini katika kushindwa siku zote....

Mawazo hayo hasi yanatufanya tuwe na fikra mgando kiasi kwamba tunayaona mafanikio ni kitu cha ajabu sana......

Nafsi zetu hazipendi kuona mtu akifanikiwa kwa jambo lolote lile..tutafanya kila njia ili tumuangushe aliyefanikiwa.....badala ya kumtia moyo...

Hata hao wanaokutia moyo sio kwa dhati kutoka kwenye nafsi zao kwani hao hao ndio wanakuwa watu wa kwanza kukusengenya pindi mambo yatakapokuendea kombo.......

Chuki na husda zinakuwa kali zaidi hasa mafanikio hayo yakiwa yanahusisha MTANZANIA MWENZETU......

NB;

dc46367e0a3c7e945d0b6fc7da89a396.jpg
Mitanganyika ndivyo tulivyo mkuu, hatuwezi furahis kuona mwenzetu anatusua na kusifiwa. Hapa uzi ungekua unasema Eric Omondi au Kevin Hart ndo magwiji wa kuchekesha wote wangekuja kusifia ila sababu ni pilipili mtanzania mwenzetu ambaye tunamfahamu hatuwezi vumilia kuona anasifiwa. Kama ambavyo hatupendi kuona Dayamondi anaendelea, Hakuna uchawi zaidi ya huu
 
Sijawahi one ugwiji wake kabisa .

don't care for those who ignore you,care for those who are ignoring others for you[\color]

Back
Top Bottom