Imenichekesha sana hii picha baada ya Kuiona tena kwenye Library yangu ya Picha...

Aug 8, 2017
72
84
unahisi ingekuwaje kama Ingetokea Kwetu hapa tena Kipindi hiki
d40eec7740d3f5bb5d1c04a4392a9646.jpg
 
Sisonje angeuwa kama alivyouwa mtoto wa shule pale kinondoni


Swissme
Acha wewe. Mbowe ndio kasababisha vurugu hadi mtoto wa watu kapigwa risasi. Haya machadema kila yakijihusisha na uchaguzi kuna maafa yanatokea kwa sababu ya fujo zao.
 
Hapa kwetu?.

Tungeoneshwa picha nzima ingefana sana. Pengine Polisi hawamo ndani ya gari. Unajuaje?.

Na, vipi kama alikuwa akisukuma gari, adhabu, polisi mwenzao na kadhahlika?.

Hakuna direct answer katika hili.
 
Umejuaje kama huyo ni raia au laa(sio polisi)? Na umejuaje kama anatania polisi hapo? Ni shughuli gani hiyo ilikuwa??
We jamaa boya kwel ina maana hapo hujui nn kinaendelea ninyi ndo mnatuchelewesha sana kwenye hii nchi kwa uboya wenu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom