MAPINDUZI YA BONGO MOVIE special thread

Akilidebe

JF-Expert Member
Feb 18, 2018
204
124
Wanajf habari za wakati huu,
Filamu za kitanzania 'bongo movie' zimepoteza mvuto kwa asilimia kubwa sana

Kabla ya kutatua tatizo ni vema kujua chanzo cha tatizo. Ni muhimu kujua tuliteleza Wapi ndipo tutafute suluhisho.

Maoni tafadhali Nini kifanyike kurudisha hadhi ya bongo movie
 
Acheni kujiona mastaa wakati hata uhakika wa uji tu hamna.Acheni kukopi hadithi za wenzenu,maisha na mikasa ya tz inatosha kuuza kwingine kwakuwa wanapata cha kujifunza toka kwenu.Mkiigiza vya kwao kipi kinakuwa kipya?Zingatieni elimu ya sanaa na fani zingine mbalimbali msibweteke na tulaki tuwili kujiona mnajua.Acheni kutengeneza "scandal"na magazeti nyie fanyeni kazi.Acheni kuingilia taaluma za sanaa kila mmoja abobee eneo lake kisanii.Kama ni muigizaji igiza kama ni muongozaji ongoza kama ni muandishi andika kama ni mhariri hariri kama ni mpiga picha piga picha acheni tabia ya kwenye movie mpaka mpishi ni huyohuyo mnaharibu watu hawawajibiki ipasavyo
 
Thread closed kila Kitu umekizungumza...

Mods tuondoleeni huu Uzi ,
 
Ukweli ni kwamba sababu zenye kutolewa humu sidhani kama ndiyo sababu halisi,maana hata watoaji wa hizo sababu sidhani kama kweli walikuwa wapenzi wa bongo movie na hivyo wameacha kuangalia kwa sababu hizo.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom