Akilidebe
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 204
- 124
Habari wanajamvi, Leo nimependa kuwaletea uzi huu unaohusu Media zenye ushindani kwa sasa hapa nchini.
Binafsi natabiri anguko la mmoja wao kati ya clouds na tve. Kama ilivotokea kwa clouds kumuangusha EATV.
Ubunifu utasababisha media nyingine kuwa dominant. Kwa sasa media zote mbili zinajitahidi kuonyesha Ubunifu japo clouds ndio yupo huu.
Lakini pia, clouds kwa sasa inapitia misukosuko baada ya kutofautiana na baadhi ya wasanii. Mbali na hivyo clouds wanatuhumiwa kunyonya wasanii yaani wao "ndo wanaamua Nani atoke, na Nani asitoke"
Kwa upande wa E MEDIA, kuna watu wanawachukia kwa sababu ya kumkumbatia "Bashite" (kumradhi)
Kila media ina tamasha la burudani: clouds wana FIESTA, tve wana KOMAA CONCERT
clouds: AMKA DUNIA INA KUSUBIRI, KATAA KUA KAA.
Tve: Hatupoi
Nini maoni yako??