Kwa wapenzi wa vitabu vya Ben Mtobwa, kwa mara nyingine napenda kuchukua fursa hii kuvitangaza vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwamba sasa vinapatika hapa jijini Dar es salaam, maeneo ya Posta...
By Sangu Joseph
March 14, 2020 tulishuhudia Mkali Konde Boy, Tembo, Mmachinga wa zamani Harmonize akiweka historia ya kuzindua Albamu kibabe ya AfroEast na haya ni maoni yangu.
Kiukweli tangu...
By Sangu J
.
Katika maisha yangu ya Kitaaluma nimekuwa nikijiuliza sana nani anastahili heshima kwa mwenzake kati ya Msanii na Mtangazaji ni swali ambalo leo nadhani
nimelipatia majibu.
.
Ni mara...
Wadau,
Tuache unafiki tufike mbinguni. Usiku wa kuamkia leo ulikuwa mwanana, na nimefurahishwa na namna Harmonize alichokifanya. Full show was live, na jinsi alivyocheza na stage was stunning...
Waandaaji wa Tamthilia ya HUBA inayoonyeshwa DSTV, mmeanza kuunga unga na kuongeza watu wasio na umuhimu wowote mpaka mmeanza kutuudhi wafuatiliaji.
Kwa mfano suala la Uchawi wa kuwatoa kina...
Watu Wanaopenda muziki wa dansi na Wanakwenda kuhudhuria maonyesho Wanajua Namaanisha nini Nikisema una vibe la kutosha na radha ya pekee Tembelea maonyesho ya Twanga pepeta chini ya Raisi Kalala...
Habari wadau wa JF,
Huwa navutiwa sana na style aliyokuwa anatumia Inspector zamani ya kurudia neno moja kwa kutumia majina tofauti lakini yana maanisha kitu hiko hiko.
Baadhi ya nyimbo...
Fathers and daughters seem to have some special bond, and the story of Flávio Dantas, of Rio de Janeiro, Brazil, is another proof of it.
This father was so excited to meet his daughter, that he...
Salaam wana jukwaa. Moja kwa moja kwenye hoja.
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua kuwa Dully Sykes ndie msanii anaeongoza kwa kushirikishwa sana kwenye nyimbo za Bongo flavour.
Music...
Lyrics:
My Darling
Si uniambie
Una mawazo gani
Nielezee ni kwa nini
Kuwa na amani
Haya mambo yameanzia mbali
Yapo hapa tangu zamani
Kabla hatujazaliwa
We na mimi
Yapo ambayo umeshayafanya
Na...
Juzi kwenye tuzo za Malkia wa Nguvu alipanda kuperfom mwanamuziki Ruby, aisee nilikuwa nasikiaga kuwa Ruby ni balaa sana kuperfom live ndio nikaamini juzi.
Anasauti moja matata sana huwezi...
Leo nimeingia YouTube niangalie nin kinatrend Bongo, nikakuta wimbo wa Rayvanny unaitwa Ex Boyfriend, bonge moja la pini.
Huyu mwamba nimempigia saluti anaimba vitu real sana na very romantic kwa...
Wadau inajulikana kwamba idadi ya vidole mkononi au miguuni ni 10 yaani kila mkono au mguu ni vidole vitano
Ila wapo wanaozaliwa na vidole zaidi ya 10 miguuni au mikononi
Sasa tuangalie watu 10...
Kama wewe ni mpenzi wa movies na mavitu makali, basi hii inakuhusu. Usikubali kupitwa na updates mbalimbali kuhusu movie ipi imetoka na inayotegemewa kutoka.
Hii inahusu movies za aina zote...
SEHEMU YA KWANZA
Hali ya hewa ilikuwa tulivu ingawa kulikuwa na kijua kilichochoma kwa mbali na kufanya hali ya Mwanza iwe na joto kiasi.
Anne alisimama kizimbani mbele ya jaji wa Mahakama ya...