Habari JF!
Poleni wadau na majukumu ,najua bado tupo kwenye mapambano na wengine kutokana na nature ya shughuli zetu masaa mengi tupo nyumbani kifupi tumepunguza kutembea kama hakuna mchongo wa...
Uzi huu ni maalum kwa wapenzi wa muziki wa rock; share chochote kinachohusu muziki wa rock tushirikishe au tujuze chochote kuhusiana na rock music.
Karibuni.
@military_Genius
IMEANDIKWA NA : ATUGANILE
MWAKALILE
*********************************
*********************************
***************
Simulizi : Sitasahau Tanga
Sehemu Ya Kwanza (1)
Nikiwa kwenye mishe zangu za...
Nakupenda hip hop - Roho Saba
Darubini - Mfalme Suleiman / Afande Sele
Chemsha Bongo - Profesa J
Chagua Moja - Fid Q
Nakwenda - Chindo Man
Mtazamo - Sollo Thang
Sent using Jamii Forums...
"Mr John jikaze kifo kipo na kila mwanaadam ataonja umauti kwahiyo naomba uvumilie,najua ulimpenda mke wako kipenzi mama manavy,,piga moyo konde boss"yalikua maneno ya kumtia faraja kidog Mr John...
MTUNZI: FAKI A. FAKI
SEHEMU YA KWANZA
Fikiria kwamba uko chumbani na mke wa rafiki yako aliyeko safarini. Mwanamke anakwambia kwamba anakupenda. Anakulaghai kwa maneno mpaka unalainika. Unaamua...
Mtoto wa tajiri wa pili duniani,,n simulizi nzur,yenye visa mbalimbali vya mapenzi,mauaji,shida,mafanikio,na mambo mengi ndani yake ikimlenga mtoto wa tajiri mkubwa duniani... support yenu...
Mwenye Album Hiyo tafadhali naomba unipatie nyimbo za album hiyo
Mimi ninazo
1. Maria Saloma 2. Kaisiki 3.Alimwatusile pekee.
Naomba mwenyei nyimbo zingine za Abum hii anisaidie.
Nimeona trailer ya hizi movie nafikiri Kwa sasa Movie za kibongo zitafaa kuangaliwa
1. Mstari wa damu trailer
2. Mzalendo
3. Jeshi la ukombozi
4. Chaguo series
Saidi fella ni mfanyabiashara Katika tasnia ya Muziki na mafanikio ya hii band kwa asilimia zote yeye ndio kayawezesha. Kwa hili nampa Hongera sana
Kilichonifanya niandike huu uzi ni Tukio...
Dah mzigo nimeusubiri kwa hamu sana huu na umenikosha,'
Binafsi Profesa kaniacha hoi kwa ile mbinu waliyotumia kumuokoa mke wake na kumpeleka benki kuu
SEHEMU YA 1
Nilikamatwa na maaskari majira ya saa sita mchana kwenye mgahawa wa ENO. Nilikuwa nakula mayai huku nikinywa kahawa. Unaweza kuita kifungua kinywa kilichochelewa, kwa sababu...
How can u say Professor of money heist is smarter than Michael Scofield of prison break. Scofield survived through betrayals, setups, toughest prisons and smart detective like Alex Mahone...
Nimeona kwenye matangazo mengi hii serires ikipewa promo kubwa sana, hadi watu wengi wanaweka zile mask za wale robbers kwenye dp zao.
Nikaona niitafute bana. Dah Money Heist ni series ya hovyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.