Teleza na Teza toka Wasafi Media

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
2,162
2,000
Wasafi media wamekuja na Kampeni ya Kutoa zawadi ya Gari aina ya Altezza Kupitia kipindi cha The Switch

Nilichoona ni Kua Lil Ommy kakosa ushawishi Kwenye kipindi Inaonekana kipindi kina wasikilizaji wachache Wameona waje na Zawadi ya gari ili kushawishi raia wakifuatilie na waifatilie zaidi wasafi radio

Wasikilizaji wengi wa Lil Ommy walikua wakimfuatilia Zaidi kupitia youtube Chanel yake, na walikua wakiangalia interview tu, Kumpa Ommy aongoze kipindi cha masaa 3 ni mtihani mkubwa, Jamaa kule Times ilikua ni kupiga mziki na interview ubunifu ziro

Tatizo zawadi za namna hii huwa ni za michongo zaidi yaani washindi uwa wanapangwa mapema..
 
vinny cente

Member
Sep 22, 2018
47
125
kipindi kusikilizwa kinasikilizwa tena saana tu izoo kituu zakugawa zawadi hata clouds wanafanyaga sema kitu kikifanyika wasafi wachambuzi wa mambo mnakua wengi ndo ishakua hivyo habari za wasafi ndo zinatazwamwa na watu wengi hata humu jamiiforum endelea kuwachambua mkuu
 
dudu jeupe

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
720
1,000
mkuuu mbona umeleta ujumbe kwa machungu, hasira na kuponda.

mbona lil ommy wengi sana tunamsikiliza, au wewe kwasababu humsikilizi ndio ukadhani wengine hawamsikilizi????

kwa taarifa yako tu u hio ni marketing strategy ya kuongeza market share kwenye industry na hiki ni kitu kinachohitaji pongezi, redio ina muda mfupi sana ila inafanya makubwa.
 
yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
3,887
2,000
Wasafi bado inajengwa ili iwe bora zaidi kimataifa na sio kibongo bongo kama plan za mawingu na wengne...

wasafi media ni fursa ndo maana wajinga hushindwa elewa plan zao
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
23,515
2,000
Hiyo zawadi yao ni ngumu sana imekaa kijanja,popote ukiona mtangazaji wa wasafi anaendesha hiyo alteza we unapiga picha au kuselfika then unawatag na hashtag wasafi media,aisee kwa akili ya kawaida we utakuwa unakaa tu mtaani unasubiri mtaani mtangazaji aliyekabidhiwa gari siku hiyo unamvizia.

Mchezo wa kipuuzi
 
innocent dependent

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
5,598
2,000
Kumbe mzee unaangalia wasafi media, wasafi Wana mashabiki wengi Sana na ndomaana chochote wanachofanya kina mijadala Sana we ujiulizi kwanini time fm,East Africa radio, classic hazijadiliwi humu jamvini na mitandaoni Kama wasafi ikiwa wasafi Ina muda mchache tu kwenye media industry na Cha kuongezea Wasafi ndio media pekee Tanzania ya entertainment yenye more than 1 million subcribers kwenye YouTube.

Tukija kwenye kuhusu kutoa ndiga kwa vijana hiyo Ni market strategic ya kuongeza watazamaji zaidi mfano mzuri pamoja na Pepsi kuwa kinywaji kikubwa na kinachopendwa Sana lakini Ni lazima waje na strategy ya kuongeza wateja ndo umeona wamemsaini DIAMOND kuwa ambassador wao kwa sababu ya mashabiki wengi alionao diamond ndani ya nchi mpaka nje ya nchi lakini pia utakuta wanakuja promotion mbalimbali lakini lengo kuu ni kuongeza wateja zaidi.
 
innocent dependent

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
5,598
2,000
Hiyo zawadi yao ni ngumu sana imekaa kijanja,popote ukiona mtangazaji wa wasafi anaendesha hiyo alteza we unapiga picha au kuselfika then unawatag na hashtag wasafi media,aisee kwa akili ya kawaida we utakuwa unakaa tu mtaani unasubiri mtaani mtangazaji aliyekabidhiwa gari siku hiyo unamvizia.

Mchezo wa kipuuzi
Wametoa option mbili hiyo Ni moja wapo nyingine Ni ya kupiga simu na kujibu maswali utakayo ulizwa Kama umeshindwa kuhatisha option ya kwanza unaenda ya pili.
 
Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
2,162
2,000
Hiyo zawadi yao ni ngumu sana imekaa kijanja,popote ukiona mtangazaji wa wasafi anaendesha hiyo alteza we unapiga picha au kuselfika then unawatag na hashtag wasafi media,aisee kwa akili ya kawaida we utakuwa unakaa tu mtaani unasubiri mtaani mtangazaji aliyekabidhiwa gari siku hiyo unamvizia.

Mchezo wa kipuuzi
Janja janja nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
2,162
2,000
Umeandika utopolo mtupu

hiyo media kuongelewa humu ni kuonyesha udhaifu wao, media inaendeshwa kijanja kijanja, wanakuja na vikampeni visivyoeleweka,kulipia watu kodi wanakusanya watu 20 wanawagawia vibahasha vyenye buku mbili mbili ndani wanasema wamemaliza hawamu ya kwanza ya kulipa kodi, wanatafuta wasikilizaji kwa nguvu kupitia shida za watanzania badala ya kua Wabunifu, hii teleza na Teza nayo imekaa kiujanja ujanja,.

Kama radio inasikika mkoa mmoja kua na subcribers 1m si ajabu tena ni wachache sana, hizo media nyingine zinasikika mikoa karibu yote Uende kuifatilia youtube kwa kutafuta nini wakati unasikiliza kipindi ukipendacho kwa simu yako kitochi au kwa radio yako hapo nyumbani.

Wasafi media haiendeshwi kitaasisi inaendeshwa kwa umaarufu wa mtu na plan zilezile za kik kuendesha mziki wake ndo anazozileta kwenye media, washaulini wawe wabunifu Vikik kik vya hapa na pale haviwezi kuwafikisha popote, Media inapunguza mvuto siku baada ya siku Wasikilizaji na watazamaji wanazidi kupungua,.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
8,296

Sent using Jamii Forums mobile appSent from my iPhone using JamiiForums
 
promethus

Senior Member
Feb 22, 2016
190
250
To be honest radio zetu bongo karibia zote ni ujinga ujinga tu mtupu.
Radio stations nmeona ziko serious kidogo ni hapo nchi jirani Kenya,mtu unavutika kusikiliza radio mwanzo mpaka mwisho wa show.
NRG,classic,capital na kiss fm utazifananisha na radio gani bongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yegoo

JF-Expert Member
Nov 14, 2012
1,370
1,500
Mtoa mada Hata wewe ni msikilizaji mzuri wa vipindi vya WASAFI MEDIA!! na unashinda youtube kufatilia nini kimejiri USAFINI!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom