Friday 9:00pm ~ EATV vs CLOUDS TV vs TVE

Friday 9:00pm ~ EATV vs CLOUDS TV vs TVE

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Posts
1,949
Reaction score
4,425
EATV: hawa jamaa hawajapata mtu wakuziba pengo la Sam Misago. Tbway anaogopa kuuliza baadhi ya maswali. Ubishoo mwingi sana.

CLOUDS: Hawa jamaa wameona isiwe case wakaona wapige c&p kwa TVE. Tatizo la kipindi video inakatika kama vile kitabu kinafunguliwa . Hivi Clouds hakuna watangazaji???.... Meena yupo XXL, MillardAyo na sasa hivi kwenye Washa Kideo. Show haileti experience ya show.Show haina plot kama ni talk show au live performance.

TVE: Hawa ndo washindi wangu wa leo. Live performance yenyewe. Organisation nzuri sana. Kila kitu kimekaa penyewe!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
T.I.D anafanya makusudi kwenye interview ili kumchanganya mtangazaji asahau maswali au kumkosesha confidence
K
Kumfanyia interview ya live Mzee kigogo unatakiwa ukae kijanja mana anaweza kukuumbua mchana kweupe.
Kuna mda Jonijo naona alianza kuishiwa confidence.

So far show iko vizuri sana .
 
Back
Top Bottom